Chama cha Mapinduzi(CCM) wamtoa machozi Eric Shigongo, wamwambia kunywa maji

Napata taabu kidogo tofauti ya magazeti ya udaku na unga wa brazil katika kuleta madhara kwa jamii.

Na washawasha!
 
Pole shigongo,kilichokupata kinanikumbusha mapenzi ya wanafunzi mala nyingi binti akipewa mimba na mwanafunzi mwenzake wa kiume ufukuzwa nakubaki kulalamika wakati dume linadunda ,fazira mfaziri mbuzi SSM watakuuzi.acha kupenda kupitiliza si kila kitu dili
 
Mnapokua mnatusaliti vijana wenzenu tunapowambia tuungane kuleta mabadiliko mnajifanya mna urafiki na wazee wa nguo za kijani- njano leo yamekufika umedhurumika unalialia ukomeee


Na kweli kawasaliti ange wasaidia kubadili gia angani ruzuku ya chama ingeongezeka zaidi.

Na washawasha!
 
Bro hayo makubaliano ni ya maandishi?au unamwaga mchele tu apo jamaa watakugeuka kwa style iyo,tena wanaweza kushiriki kufirisi kabisa hicho kidogo kilichobaki na mcc wanavyojua kukera watu juz juz tu apo waligawana mipesa yao milion kumi kumi maskini ya mungu huku bro mali zako wanataka zipigwe mnada maweeeee Myrah...
 
Pole sana Eric, siku nyingine usifanye biashara ya uzalendo na wanasiasa, jitolee tu bure kwa uzalendo wako kadri unavyoweza na kadri unavyoamini unasaidia taifa lako kwa kusaidia chama unachokiamini, chama kikishinda huo ndio ujira wako.
 
mh. rais mzawadie cheo huyo angalau apunguze shida zake hata kaukurugenzi tu ulikompa kamoga kule mbulu...
 
Huyu mtu si ana mbinu na mkufunzi wa kupata utajiri… Kwa nini asiachane na viji senti hivyo na kujikita
kwenye mbinu za utajiri
 
Pole mkuu natamani ningekuwepo cku ya kwanza nikukataze kuchukua hyo tender. mana kwa tanzania yetu jasho lako huwezi ukalitafutia ccm.

Kwa hili cjui kama sizonje atakubali aache kuwalipa makandarasi wa barabara aje kukulipa wewe.
 
Hiyo tenda ya ku supply CCM wakati wa kampeni ilitangazwa wapi ?
Unajua ndugu yangu kama wewe kada mzuri wa CCM ulitakiwa uchangie chama lakini sio leo unaanza kulia kwamba unadai chama. Wafadhili wengi walijitokeza kuchangia chama kwa kutegemea baada ya uchaguzi mambo yangekuwa mazuri lakini hii serikali ya Rais Magufuli ni tofauti na iliyotangulia .
Kuna Mahakama kitengo cha biashara unaweza kupeleka malalamiko yako ili upate haki yako.
 
umeyataka mwenyewe shigongo utalia sana sema wengine mnakuaga wagumu kuamini adi mjionee wenyewe this is what we call ccm mr shigongo
 
Kila mwenye ufahamu hawezi kujiungamanisha na hicho kikundi. Ninakupa pole sana mtumishi wa Mungu kwa kuwa haukumuuliza Roho Mtakatifu kwanza kabla ya kujiungamanisha nao. Mungu akutie nguvu huenda akakupatia kwa njia nyingine
Hivi unamwita mtumishi wa Mungu, ulishasoma magazeti yake ya udaku? Mhu kama ni hivyo huyo mungu ana kazi.
 
Kama wananchi tu mifukoni hali tete, vp chama na wanachama wake?
Vuta subira kamanda, keki ya taifa bado ya moto. Tusubiri ipoe, tutafaidi wote.
Wewe ukilipwa zako, watumishi wataongezewa mishahara, milioni 50 kila kijiji zitatolewa, dodoma tutahamia, viwanda kemkem vitajengwa, wanachuo mkopo 100% kila mtu n.k
Tusubiri tu.
 
Sasa kama chama kimefilisika hela ya kumlipa itatoka wapi? Atulie tu aliipenda mwenyewe CCM ngoja aisome mamba.
 
Back
Top Bottom