Jamaa yenu anagombea kuongoza vyombo vya dolaila mnisamehe kiufupi sisi ni wezi
Wanakumbukaga tadhila za vitenge na kanga, hata chumvi na pilau wao huwa wapishiCCM hata bila kuiba ni wengi,na wanajiandikisha na kupiga kura,ni watiifu kwa chama chao.Sema wapo wapambe wanaokoleza uchaguzi kwa kufunga magoli ya mkono bila sababu.
Lakini ukitaka kuwamaliza CCM usiruhusu wanawake wapige kura.Hata kama mumewe ni Chadema damu lakini mke atampiga CCM isipokuwa Pemba tu na kidigo Kaskazini.
CCM=dola, upinzani=wananchiJamaa yenu anagombea kuongoza vyombo vya dola
Kushinda ni penye ushindani!.Niseme Ukweli Japo Kuwa Mchungu Sisi Wana Ccm Bila Haya Mambo Matatu Kwa Chadema Sisi Ni Weupeee
Bila Kuwahonga Wananchi Kofia Na Khanga
Bila Kuandikisha Makaburi Na Kuyafanya Yanapiga Kura
Bila Bao La Mkono
Mlinitia Aibu Kwenye Uchaguz Fulani Mkoa Fulani Picha Likaanza Kura Za Maoni Kupambanisha Wagombea Wawili Mwanzoni Katika Mchuano Wote Wakawa Wametoka Sare Moja Moja Ikabidi Mech Irudiwe Ile Kurudiwa Ushindi Ukatoka 5_2 hapo wagombea wote ccm nikabaki nashangaa imekuwaje ilikuwa 5_5 sasa hivi tu 5-2 wachezaji walewale waamuzi walewale na hakuna kilichoongezeka nakuja kupata taarifa za nyuma ya panzia jamaa alikuwa anagawa ten ten choon nikasema dah upinzani hawatuwez hapa tu mechi ya nyumban je ugenini ndio hivyo wana ccm wenzangu tukiacha hutu tumichezo chamwino tutapasikia tu
Huo ndo ushindi wa chama chetu ccm bila rushwa kubebwa na dola hatuwezi kushindaNiseme Ukweli Japo Kuwa Mchungu Sisi Wana Ccm Bila Haya Mambo Matatu Kwa Chadema Sisi Ni Weupeee
Bila Kuwahonga Wananchi Kofia Na Khanga
Bila Kuandikisha Makaburi Na Kuyafanya Yanapiga Kura
Bila Bao La Mkono
Mlinitia Aibu Kwenye Uchaguz Fulani Mkoa Fulani Picha Likaanza Kura Za Maoni Kupambanisha Wagombea Wawili Mwanzoni Katika Mchuano Wote Wakawa Wametoka Sare Moja Moja Ikabidi Mech Irudiwe Ile Kurudiwa Ushindi Ukatoka 5_2 hapo wagombea wote ccm nikabaki nashangaa imekuwaje ilikuwa 5_5 sasa hivi tu 5-2 wachezaji walewale waamuzi walewale na hakuna kilichoongezeka nakuja kupata taarifa za nyuma ya panzia jamaa alikuwa anagawa ten ten choon nikasema dah upinzani hawatuwez hapa tu mechi ya nyumban je ugenini ndio hivyo wana ccm wenzangu tukiacha hutu tumichezo chamwino tutapasikia tu
It is fine, kama uchaguzi ni huru na haki, wakishinda ccm, nobody will bother!Niseme Ukweli Japo Kuwa Mchungu Sisi Wana CCM Bila Haya Mambo Matatu Kwa Chadema Sisi Ni Weupeee
Bila Kuwahonga Wananchi Kofia Na Khanga
Bila Kuandikisha Makaburi Na Kuyafanya Yanapiga Kura
Bila Bao La Mkono
Mlinitia Aibu Kwenye Uchaguz Fulani Mkoa Fulani Picha Likaanza Kura Za Maoni Kupambanisha Wagombea Wawili Mwanzoni Katika Mchuano Wote Wakawa Wametoka Sare Moja Moja Ikabidi Mech Irudiwe Ile Kurudiwa Ushindi Ukatoka 5_2 hapo wagombea wote ccm nikabaki nashangaa imekuwaje ilikuwa 5_5 sasa hivi tu 5-2 wachezaji walewale waamuzi walewale na hakuna kilichoongezeka nakuja kupata taarifa za nyuma ya panzia jamaa alikuwa anagawa ten ten choon nikasema dah upinzani hawatuwez hapa tu mechi ya nyumban je ugenini ndio hivyo wana ccm wenzangu tukiacha hutu tumichezo chamwino tutapasikia tu
Sio kweli, Hata wana CCM wengi huwa hawawapigii wenzao. Isingekuwa hivyo ungeona mwakahuu kungekuwa na uchaguzi lakini it is obvious kutakuwa na "mchaguzi" sio uchaguzi.CCM hata bila kuiba ni wengi,na wanajiandikisha na kupiga kura,ni watiifu kwa chama chao.Sema wapo wapambe wanaokoleza uchaguzi kwa kufunga magoli ya mkono bila sababu.
Lakini ukitaka kuwamaliza CCM usiruhusu wanawake wapige kura.Hata kama mumewe ni Chadema damu lakini mke atampiga CCM isipokuwa Pemba tu na kidogo Kaskazini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tena mtashinda kwa asilimia 95 [emoji1787][emoji1787]ila mnisamehe kiufupi sisi ni wezi