Hiyo picha ya pili kutoka kulia inanikumbusha msemo usemao ''njaa mbaya sana''kiukweli hiki ni chama cha hanasa na starehe, chenye kunufaisha wachache sana. Hakuna staha wala heshima kwa viongozi wala wanachama wao.
Hiyo picha ya pili kutoka kulia inanikumbusha msemo usemao ''njaa mbaya sana''
Huyo mzee aliyetangulia mbele kiumri ni mkubwa kuliko huyo aliyempigia magoti,
lakini bwana njaa isikie kwa watu,ikikufika lazima uuze utu wako ili ushibe.
Kama heshima madaraka mbona wananchi wa mkoa wa mbeya waliwahi kuupiga mawe msafara wa raisHeshima madaraka