Chama cha CUF kweli nimeamini kimekufa

Chama cha CUF kweli nimeamini kimekufa

Status
Not open for further replies.
mi najua chama unachokifahamu kinaitwa (ccm u - chama cha masoro ughaibuni) na wewe ndo chairperson - serukamba we! Nani wamekiua kama sio hilo lichama lenu la pembe za ndovu nakuchukia kuliko maelezo
Wewe kwani uko milembe day? Mbona mkali vile umelogwa ee! Acha kufoka hovyo.
 
Huwezi kushirikiana na ccm ukabaki salama

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
kwaiyo kule kigoma na sehem nyengine Chadema mliposhirikiana na ccm hakuna Salama!?au na nyie ni CCM B!?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom