Alfred Daud Pigangoma
JF-Expert Member
- Mar 30, 2009
- 1,833
- 972
Hii hoja haina nguvu kujadiliwa maana hata kama mkikataa kwamba hamna ndoa ya jinsia moja ukweli ni kwamba hao watu wapo hapa kwetu Tanzania. Kwa hiyo ni swala la mda tu. Hii haiwezi kuvunja mahusiano ya kisiasa baina ya vyama hivo. Politics is always a dirty game. Viogozi wetu wa Africa wanapokea pesa chafu sana ambayo haina tofouti na hii ya mashoga. Fuatilia world politics utajua undani wake. Very dirty, people are dying everywhere just because of this politics.
we ulieleta mada hii ni shoga vile vile
Urafiki wa CDM na Conservative ni wa muda mrefu na unadumu, tunaanza kupata wasiwasi sasa hata viongozi wa cdm waweza kuwa ni m*****a ndio maana wanapatana nao. na huyu mama Nkya anajulikana sana ni mnafiki na mtu ambae si wa kuaminika. Hata ndoa kwanza hana iliisha vunjika siku nyingi unategemea nn sasa kutoka kwa mtu huyu
mods tafadhali ondoa hii post, kuna mtu amerudisha tana. Please mods delete this post, has no credibility.
Wanabodi.
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..
Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.
Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..
Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..
Cameroun ni PM hakutoa kauli ya chama bali ni ya serikali, hata angekuwa wa chama kingine angesema hivyo kwa kuwa ni sheria ya nchi.
Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..
Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea
Nadhani msimamo wa chadema ni kama ule alioutoa membe. Tanzania kama Tanzania sheria haziruhusu mahusiano ya Jinsia mojamods tafadhali ondoa hii post, kuna mtu amerudisha tana. Please mods delete this post, has no credibility.
Majibu ya akili sana, ila kama ni punguani hatakuelewa.Cameroun ni PM alitoa kauli ya serikali na siyo chama. Kama sheria hiyo ipo katika katiba yao hata angekuwa wa chama kingine angesema hivyo kukidhi matakwa ya nchi yao.
Wanabodi.
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..
Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.
Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..
Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..
Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..
Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea
Mbaya Zaid, Serkali yenu ya CCM chini ya Mkwe.re na Membe Juzi juzi tu walikuwa wanalilia warejeshewe Fedha za Rada na hao hao Mnao waponda, Plus Misaada kibao na sehemu ya Budget kutoka Serikali hiyo hiyo ya David Cameroon, Kabla CHADEMA hawajaja hapa kuto aufanunuzi, Waite Waume zako CCM waje watoe maelezo ni kwanini mpaka sasa wanaomba misaada kutoka serikali inayotambua mashoga hadi kufikia kuletwa Balozi shoga na still bado Mwabwana zako wataendelea kwenda kulia Njaa huko, then CHADEMA ndo watakuja kutoa tamko.Cameroun ni PM alitoa kauli ya serikali na siyo chama. Kama sheria hiyo ipo katika katiba yao hata angekuwa wa chama kingine angesema hivyo kukidhi matakwa ya nchi yao.