Challenge ya huyu mwanamke imenishinda

Dah sema umenchekeaha unaposema hakuonei huruma. Hawanaga huruma wanawake wa hivyo
 
Kama hajakuelewa hapa basi tena.
Kabisa mkuu maana mnauzoefu nao sana hawa watu na wengi walojaribu kuishi nao ndoa hazikudumu kabisaaa ....

Kwanza huwa wanapenda kuwa juu ya mwanaume ,yaan mke anakuwa na sauti kuliko mwanaume ,.Chakula cha usiku huwalishi ugali kamwe ,wao wali au chai usiku ,Pia nyumbani kwako hawatakauka wageni ila wamwanamke tu ,na ukileta ndgu zako basi kila siku itakuwa maneno ...

Yaan ukiwa na vyuma vyako (pesa) utawamudu maana ndio wanapenda mtu mwenye pesa nyumba ,gari ya kutembelea ...ila usiwe tu mwenzangu na mimi mwenye maisha ya kuunga unga ,umepanga sijui chumba chako kimoja au chumba na sebleeee ,lol kwakweli unaiona dunia chungu ,bora kuishi na hawa wanawake wakizaramo kuliko hao
 
Halafu sijui kwanini wao kutafuta wagumu wanapenda Biashara za maduka yaani ukimuoa ndio umfungulie hawataki start zero
Mkuu hawa wanawake kiasili ni wavivu ,si watu wakujishughulisha ,si kwa maswala ya kiuchumi hata mambo ya ndani ,yahusiyo majukumu ya mke ....
Waeza mweka ndani bado akataka mfanya kazi wa ndani na kila kitu akafanya mfanyakazi ,kuanzia kupika kufua ,kutandika kitanda chako ,yaan yeye ikawa kazi yake moja tu kukufyatulia watoto ,tena hapo usipokuwa mwangalifu atakuzalia usiku na mchana
 
Siwalaumu wanawake kupenda maisha mazur maana kila mtu anapenda maisha mazuri ila wanachotakiwa kufaham maisha mazur yana gharama zake itabid azilipie
 
Wanawake wa kipemba hawakai chumba ya kupanga ilo kwao ni kawaida. Labda ujenge au ukodishe nyumba nzima.
 
Unapaswa umshukuru Mungu, maana ungekuja kuteseka sana kwenye hiyo ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…