Hizi tabia na wanyakyusa na wapare wamo humoNdo kawaida yao. Usiku ukifika sebule inabadilishwa inakuwa kama wodi ya Mwaisela, magodoro yanatandikwa chini kama yote hamna pa kupita full kujambiana na kero zote mpaka asubuhi.
Wanyakyusa wapo mzee baba Dah nimekaa nao sana wale ila sio woteHizi tabia na wanyakyusa na wapare wamo humo
Wataisoma namba huko mbeleni..... Wanaume wanaowahusu ndio hao wanapita.... Wakishafika umri wa kina aunt Ezekiel kazi inabakia kuanza kumendea wanaume waliopo kwenye ndoa na kufosi kuzaa nao ili wawaharibie wenzao.Hivi wanawake wamekuwaje siku hizi mbona hawajifunzi kwa bibi zetu na mama zetu " uvumilivu" wanataka ready made tu[emoji848][emoji848]
Kizazi cha nyoka
Aaaaah basi.... Mwisho wa siku kila mtu atabeba mzigo wake. Waendelee hivyo watauona mwisho wake.....Kizazi hiki ni cha mwendokasi kimeelimika na kujanjaruka zaidi ya kile kilichopita. Huku sasa hivi uvumilivu sio kauli mbiu. Shetani kawakamatia haswaaaaaaa ndo mwalimu wao. Wanadeka, wanajibizana na waume zao mbele za watu, wanadanga, wanapenda anasa, wana tamaa, wavivu, wanazurura hawatulii majumbani mwao, walevi, wabishi, wachafu, hawana adabu, wanashinda mitandaoni, wanatumia line mbili, hawana staha, wakorofi, watata, hawajishushi, hawawaheshimu wazazi wao.....the list is endless..
Ni kukosa ustaarabu tuWanyakyusa wapo mzee baba Dah nimekaa nao sana wale ila sio wote
Hapana sijampata hukoHuyu atakua umempata Bodoo,ndo wanaulizaga unanifata una gari gani? Ukimwambia IST au Raum anakwambia mama kaja siwez kutoka,ila ukimwambia nina Alphad au Subaru unakuta kashajiandaaa kbsa,wajinga sana hawa ila tatizo kuuu ni sisi kuwaendekeza
Usinambie[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]Kuwa tu mwanamke tayari ni mtaji, hakuna 'bidhaa’ iliyo jobless!
Umesemea experience yako na huyo uliyemuoa wewe AKAKUSUMBUA...Kama sivyo,basi unatuletea habari koko za KUSIKIA...Kama umesema asili ya kipemba achana nae kama wew ni wabara.
Narudia tena wala usitishike na suala la pesa au nyumba.ni jadi yao wale hata uwe na pesa vipi wale ndo walivo ni wasumbufu mno wakiolewa na mbara.
Yaani wao hua wanaringia weupe ili aonekana ni mzuri basi anatakiwa aolewe aachike akiolewa tena ivo ivo.
Kaachika mara mbili ajabu unasikia mie ndo Kwanza Nina chungu Cha pili!!
Utastaajabu sanaa yakheee.
Achana nae sogea umasaini watoto kibao.
Mazingira ndiyo tatizo....uko unaishi kwenye nyumba ya kupanga hivyo hatoweza kufuga majini yake kwani atashindana na wapangaji wenzenu au na mwenye nyumba. Si unawajuwa wapemba, ukimuoa lazima uoe na majini yake aje kuishi nayo ili wakudhibiti na kukuendesha.Hivi karibuni nilibahatika kupata mchumba mwenye asili ya Pemba sasa kilichonileta wadau huyu mwanamke tulikubaliana vizuri tuoane akawa anataka apajue na kwangu baada ya kumleta akashangaa nimepanga vyumba viwili chunba na sebule vya kodi elfu 70 huyu mwanamke kanikataa kasema hawezi kuishi na mwanaume mwenye vyumba viwili anataka mwenye nyumba yake hanionei hata huruma kwa umri huu wa miaka 30 na yeye 25 anashindwaje tuishi wote huku tukijipanga isitoshe yy jobless na Mimi mfanyabiashara dah
Vijana utajiri tuotoe wapi hata wa kurithi geresha tuNdoto za wanawake no kuolewa na mwanaume tajiri ila niwachache wanaofanikiwa
Wale 98% wanaangukia mikononi mwetu sisi mpaka mkeka wa muhindi ukubali ndio ale ubwabwa ndondo