hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,808
Watu wababe Sana. Ila wana kuna wakati wanazingua sana. Unakolea kwa manzi mmoja wakati wako kwenye mstari kibao tu hawajapata dira. Na wapo tayari kukuvumilia mpaka utoboe. Shida ya manzi za kileo wengi wanapenda anasa kabla ya kazi kwanza.Kama umesema asili ya kipemba achana nae kama wew ni wabara.
Narudia tena wala usitishike na suala la pesa au nyumba.ni jadi yao wale hata uwe na pesa vipi wale ndo walivo ni wasumbufu mno wakiolewa na mbara.
Yaani wao hua wanaringia weupe ili aonekana ni mzuri basi anatakiwa aolewe aachike akiolewa tena ivo ivo.
Kaachika mara mbili ajabu unasikia mie ndo Kwanza Nina chungu Cha pili!!
Utastaajabu sanaa yakheee.
Achana nae sogea umasaini watoto kibao.
Ndo kawaida yao. Usiku ukifika sebule inabadilishwa inakuwa kama wodi ya Mwaisela, magodoro yanatandikwa chini kama yote hamna pa kupita full kujambiana na kero zote mpaka asubuhi.Afu" ukute kwao wanakaa big brother,chumba kimoja ukoo mzima ...lol😀😀😀
hahahNdo kawaida yao. Usiku ukifika sebule inabadilishwa inakuwa kama wodi ya Mwaisela, magodoro yanatandikwa chini kama yote hamna pa kupita full kujambiana na kero zote mpaka asubuhi.
Wanaume waongeze spidi ya kutafuta hela, wamejibweteka mnoo[emoji23][emoji23] pambana
Comment yako ya kwanza na hii ni kama Mbagala na Bagamoyo.labda we ndo hujamuelewa, huyo mwanamke ni mchumaji sio mtaftaji. hapo ni kumuacha tu uendelee na maisha yako sio kulia lia na hesabu ndogo kama hiyo.
Si ndo maana anakimbia hizo kero[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji28]Ndo kawaida yao. Usiku ukifika sebule inabadilishwa inakuwa kama wodi ya Mwaisela, magodoro yanatandikwa chini kama yote hamna pa kupita full kujambiana na kero zote mpaka asubuhi.
Kizazi hiki ni cha mwendokasi kimeelimika na kujanjaruka zaidi ya kile kilichopita. Huku sasa hivi uvumilivu sio kauli mbiu. Shetani kawakamatia haswaaaaaaa ndo mwalimu wao. Wanadeka, wanajibizana na waume zao mbele za watu, wanadanga, wanapenda anasa, wana tamaa, wavivu, wanazurura hawatulii majumbani mwao, walevi, wabishi, wachafu, hawana adabu, wanashinda mitandaoni, wanatumia line mbili, hawana staha, wakorofi, watata, hawajishushi, hawawaheshimu wazazi wao.....the list is endless..Hivi wanawake wamekuwaje siku hizi mbona hawajifunzi kwa bibi zetu na mama zetu " uvumilivu" wanataka ready made tu[emoji848][emoji848]
Kizazi cha nyoka
Dadeki[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ndo kawaida yao. Usiku ukifika sebule inabadilishwa inakuwa kama wodi ya Mwaisela, magodoro yanatandikwa chini kama yote hamna pa kupita full kujambiana na kero zote mpaka asubuhi.
Kama hajakuelewa hapa basi tena.Asilimilia ya wanawake wapemba wako hivyo japo si wote ,mtanisamehe kwa hili ,na wanawake wamombasa wapo hivyo hivyo..
kwanza wanapenda kuolewa na mtu ambaye anajiweza kwa uchumi na si wakupanga chumba kimoja ama chumba na seble ..
Wengi wanataka nyumba nzima yenye kujitegemea ,yenye uwa au geti .. pia uhakikishe kila ijumaa panapikwa biriyaan na outing za kutosha...
Sasa kama uchumi wako bado uko uchumi wa kati ,ni bora kupambana na hali yako tu ...
Ila ni wanawake wanaopenda raha na starehe na maisha ya kifahari .. na ni wanawake ambao kwa mtaftaji wa maisha au kama bado wajipanga ni heri kukaa nao mbali ..mkuu watakushughulisha
Halafu sijui kwanini wao kutafuta wagumu wanapenda Biashara za maduka yaani ukimuoa ndio umfungulie hawataki start zeroAsilimilia ya wanawake wapemba wako hivyo japo si wote ,mtanisamehe kwa hili ,na wanawake wamombasa wapo hivyo hivyo..
kwanza wanapenda kuolewa na mtu ambaye anajiweza kwa uchumi na si wakupanga chumba kimoja ama chumba na seble ..
Wengi wanataka nyumba nzima yenye kujitegemea ,yenye uwa au geti .. pia uhakikishe kila ijumaa panapikwa biriyaan na outing za kutosha...
Sasa kama uchumi wako bado uko uchumi wa kati ,ni bora kupambana na hali yako tu ...
Ila ni wanawake wanaopenda raha na starehe na maisha ya kifahari .. na ni wanawake ambao kwa mtaftaji wa maisha au kama bado wajipanga ni heri kukaa nao mbali ..mkuu watakushughulisha
Hakuna mke hapo Mungu kakuonyesha mapemaHivi karibuni nilibahatika kupata mchumba mwenye asili ya Pemba sasa kilichonileta wadau huyu mwanamke tulikubaliana vizuri tuoane akawa anataka apajue na kwangu baada ya kumleta akashangaa nimepanga vyumba viwili chunba na sebule vya kodi elfu 70 huyu mwanamke kanikataa kasema hawezi kuishi na mwanaume mwenye vyumba viwili anataka mwenye nyumba yake hanionei hata huruma kwa umri huu wa miaka 30 na yeye 25 anashindwaje tuishi wote huku tukijipanga isitoshe yy jobless na Mimi mfanyabiashara dah
Wanaume waongeze spidi ya kutafuta hela, wamejibweteka mnoo
Shangaa na dada ni jobless[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakaniwezi. Kwanza katakuwa ni kabikra maana vibinti ambavyo bado havijatolewa bikra vizuri na havijawekwa mimba huwa vinakuwa vikorofi na vinapenda ligi sana...Ila bingwa we mwamba Sana. Ndo maana binti Karma mnazinguana Sana [emoji1787][emoji12][emoji23][emoji3][emoji2][emoji28]