so law Senior Member Joined Dec 24, 2018 Posts 101 Reaction score 269 May 27, 2019 #1 Tunauza sembe na Dona kwa ujazo wa kilo 25(ambao ndo ujazo wa juu na kilo 50 Ambao ndo ujazo wa chini) Bei zetu ni poa na bei zinabadilika kutokana na misimu. Kwa sas sembe kg 25 ni Tsh 25000/= 10kgs. Tsh 10000/= 5 kgs. Tshs 5000/= Bei hizo ni Pamoja na Dona. Tuna free delivery ndani ya mkoa wa Dsm. Naomb support yenu wakuu.
Tunauza sembe na Dona kwa ujazo wa kilo 25(ambao ndo ujazo wa juu na kilo 50 Ambao ndo ujazo wa chini) Bei zetu ni poa na bei zinabadilika kutokana na misimu. Kwa sas sembe kg 25 ni Tsh 25000/= 10kgs. Tsh 10000/= 5 kgs. Tshs 5000/= Bei hizo ni Pamoja na Dona. Tuna free delivery ndani ya mkoa wa Dsm. Naomb support yenu wakuu.