Chalinze inazidi mikoa ifuatayo

Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Ingekua mtoto wa like ningesema unawashwa unatafuta bwana akitwange kisamvu
 
Wanaoenda bukoba wengi ni wachagga ..wahaya wengi bado ushamba mwingi ndege hawapandi kabisa.
Hiv bukoba huwa Kuna wachaga kweli?

Kama wapo hawazidi kumi. Wanawaogopa wahaya Kama Nini hao wanywa mbege
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Acha dharau.na uongo
 
Nadhani mdau ameeleweka, haya shime watanzania twende chalinze tukafanye biashara tupige mapesaaaaa
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
[emoji23][emoji23] ukute mwandishi hajawahi hata kuvuka wilaya ya morogoro
 
Alivyo muongo, anadai Chalinze inaishinda MIKOA, yaani Kisehemu kidogo cha Chalinze kiweze kuizidi Mikoa na siyo Miji mikuu ya mikoa bali ni mkoa mzima! Ni kichekesho cha karne. Basi angalau rekebisha kichwa cha habari kiendane na uhalisia.
 
Watu wamesogea had had msitun Kwa tenende
Samahani natoka nje ya mada kidogo hivi historia ya mlima nyoka ulikuwa na nyoka wengi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…