Kwa sababu gani?Utaachika ndugu
Hii dunia aliyoko Chalii hapo ni ile ambayo wa kitaa wanakwambia nikilewa mimi English inapanda vibaya sana.Haha sasa sijui kwa akili zake anadhani kuna mwanamke atasimama wima wakati sehemu zake za siri zinakaguliwa.!
Mkuu umewaza outside the box, nimecheka sana, anaweza kupiga magoti.[emoji16][emoji16] natamani atokee mtu amwambie wewe kwanini unamchungulia mke wangu
Anaangalia kama kashave
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jirani mbona unapenda ugomvi hvo! Jamn usinigombanishe na mtakatifu mmInna kaniambia ni wewe
Kumbe ni mpole eeeJidanganye tena wewe na upole wako
Sio kweliii mi mkali sanaaaaKumbe ni mpole eee
ashapga kitu cha arusha yupo high