There goes another zezetas epic revelation about wali na chakula mzuri coutesy of arab and indians.Waswahili wanasema "tembea uone", nilifanikiwa kufika Nairobi. Ilikuwa ni issue za biashara
Niseme wazi tu kuwa Nairobi haipo kihivyo Kama inavyozungumza, hivyo kwa wale ambao hawajawahi kufika wala msitishike.
Yote tisa kumi ni chakula, aisee huu mji sijui wanaishi maisha ya namna gani. Chakula ni shida mno kwenye huu mji.
Nikishangazwa nilipoenda kutembelea baadhi ya wenyeji wangu na kunieleza kuwa chakula kwao ni anasa. Watu wengi wanashindia mlo mmoja.
Sasa ni afadhali ushindie mlo mmoja alafu chakula kiwe kizuri, chakula ni Cha hovyo sana hata ule vipi huwezi kusikia ladha.
Kuna siku nilienda mgahawa mmoja nikaagoza wali nyama, hizo nyama zilivyoungwa aisee huwezi kutamani hata kugusa kidogo.
Wali mbaya, nyama mbayaa, nilishindwa hata kuendelea nikarudisha.
Kenya Kuna shida kubwa mno ya chakula
Wandangayinka talking about food is national tradition THEY TAKE IT SERIOUSLY, THERE IS A REASON AND DATA IT HAD TO BE.Dar na Nairobi Nairobi imejengeka na miundombinu yake ipo vizur kwenye chakula kuna shida kidogo, sijawai fika hii ni kwa mujibu wa mtu aliyefika huko
Wandangayinka talking about food is national tradition THEY TAKE IT SERIOUSLY, THERE IS A REASON AND DATA IT HAD TO BE.
SIMKO tokyo thithi wali na chukala kizuru?????????Ili uishi yakupasa ule chakulaa tena chakula bora.
Propaganda on steroids, fukara unaropokwa tu😂😂😂 Nairobi gani hiyo unaongelea kilaza?, a blind patriot, baada ya ku expose hali kamili ya maisha ya watu wa Dar is slum sasa umekimbia humu na porojo kutafuta kujiliwaza 😂😂😂. mko chini sana, hautogeuza ukweli wewe, ni uchungu lakini itabidi umezoea😂😂😂, This time round uwongo na propaganda tunafumania kila kona., Peleka porojo mbali, Tanzania ni fukara la mihogo na maharage, bingwa la utapia mlo Africa., tafuta mengine kaka, uongo na propaganda wachia CCM govt., imewashika hivi👇👇👇, ata uwezo wa kufikiria hamuna
View attachment 1883382
mbona ni hoji a too obvious hadithi za vijiweni?., mtu ambae amefika Nairobi akiandika utajua, read in between the lines, the tone is flat, the language isn't descriptive, a sign of guess work, an imagination, sounds fictitious, it is just another 'feel good' post ya kujifariji kama ilivyo kawaida yenyu,, a display of inferiority complex.Povu kama lote. Si ungejaribu basi kuhoji hata alitembelea nairobi ipi, miaka ipi nk nk. Lkn wewe hujatoa hoja hata moja zaidi ya povu. Sorry for this guy to touch your nerves.
🤣🤣🤣
Hawamwagagi chakula hao...wali unaweza liwa mwezi mzimaWaswahili wanasema "tembea uone", nilifanikiwa kufika Nairobi. Ilikuwa ni issue za biashara
Niseme wazi tu kuwa Nairobi haipo kihivyo Kama inavyozungumza, hivyo kwa wale ambao hawajawahi kufika wala msitishike.
Yote tisa kumi ni chakula, aisee huu mji sijui wanaishi maisha ya namna gani. Chakula ni shida mno kwenye huu mji.
Nikishangazwa nilipoenda kutembelea baadhi ya wenyeji wangu na kunieleza kuwa chakula kwao ni anasa. Watu wengi wanashindia mlo mmoja.
Sasa ni afadhali ushindie mlo mmoja alafu chakula kiwe kizuri, chakula ni Cha hovyo sana hata ule vipi huwezi kusikia ladha.
Kuna siku nilienda mgahawa mmoja nikaagoza wali nyama, hizo nyama zilivyoungwa aisee huwezi kutamani hata kugusa kidogo.
Wali mbaya, nyama mbayaa, nilishindwa hata kuendelea nikarudisha.
Kenya Kuna shida kubwa mno ya chakula
mbona ni hoji a too obvious hadithi za vijiweni?., mtu ambae amefika Nairobi akiandika utajua, read in between the lines, the tone is flat, the language isn't descriptive, a sign of guess work, an imagination, sounds fictitious, it is just another 'feel good' post ya kujifariji kama ilivyo kawaida yenyu,, a display of inferiority complex.
Boss mbona unaexpose umaskini wako, tafuta hela bro, wacha kukula cheap foods then ulalamikeWaswahili wanasema "tembea uone", nilifanikiwa kufika Nairobi. Ilikuwa ni issue za biashara
Niseme wazi tu kuwa Nairobi haipo kihivyo Kama inavyozungumza, hivyo kwa wale ambao hawajawahi kufika wala msitishike.
Yote tisa kumi ni chakula, aisee huu mji sijui wanaishi maisha ya namna gani. Chakula ni shida mno kwenye huu mji.
Nikishangazwa nilipoenda kutembelea baadhi ya wenyeji wangu na kunieleza kuwa chakula kwao ni anasa. Watu wengi wanashindia mlo mmoja.
Sasa ni afadhali ushindie mlo mmoja alafu chakula kiwe kizuri, chakula ni Cha hovyo sana hata ule vipi huwezi kusikia ladha.
Kuna siku nilienda mgahawa mmoja nikaagoza wali nyama, hizo nyama zilivyoungwa aisee huwezi kutamani hata kugusa kidogo.
Wali mbaya, nyama mbayaa, nilishindwa hata kuendelea nikarudisha.
Kenya Kuna shida kubwa mno ya chakula
Ungeagiza burger,smokes,sandwich,,etc ndo misosi yaoWaswahili wanasema "tembea uone", nilifanikiwa kufika Nairobi. Ilikuwa ni issue za biashara
Niseme wazi tu kuwa Nairobi haipo kihivyo Kama inavyozungumza, hivyo kwa wale ambao hawajawahi kufika wala msitishike.
Yote tisa kumi ni chakula, aisee huu mji sijui wanaishi maisha ya namna gani. Chakula ni shida mno kwenye huu mji.
Nikishangazwa nilipoenda kutembelea baadhi ya wenyeji wangu na kunieleza kuwa chakula kwao ni anasa. Watu wengi wanashindia mlo mmoja.
Sasa ni afadhali ushindie mlo mmoja alafu chakula kiwe kizuri, chakula ni Cha hovyo sana hata ule vipi huwezi kusikia ladha.
Kuna siku nilienda mgahawa mmoja nikaagoza wali nyama, hizo nyama zilivyoungwa aisee huwezi kutamani hata kugusa kidogo.
Wali mbaya, nyama mbayaa, nilishindwa hata kuendelea nikarudisha.
Kenya Kuna shida kubwa mno ya chakula
Hata kwenye malazi pia kuna shida.Dar na Nairobi Nairobi imejengeka na miundombinu yake ipo vizur kwenye chakula kuna shida kidogo, sijawai fika hii ni kwa mujibu wa mtu aliyefika huko
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hawamwagagi chakula hao...wali unaweza liwa mwezi mzima