Chakula Maarufu kwa 'Wapare'-Usipitwe

Namnani...Twatonga na bajeti!!
Ongeza hapo Ugali na picha ya Samaki kama mboga
 
Mimi nafikiri sio wapare tu bali ni chakula cha asili kwa makabila mengi msiwaonee wapare jamani
 

Hichi chakula (Pure au Kande) mara nyingi upenda kupikwa siku ya ijumaa kinaliwa hadi Jumamosi jioni. Upishi wake lazima uwe na mahindi na maharagwe lakini unaweza kuongeza vingine kama mboga za majani, maboga n.k. Wakati wa kula unaweza kuweka maziwa mtindi au ulaka moja kwa moja. Ukiweka maziwa mtindi hutakiwi kuweka chumvi (mambo ya tamaduni) japo wengine hawajali hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…