Habari wana jf .... samahani naomba kufahamishwa ni lini hasa mtu aliyejifungua kwa operation anaweza kuanza kula kawaida tofauti na ndizi au viazi. Kwani havikai tumboni na mtoto ananyonya saana kwa hivyo unakuta muda wote mama ananjaa.
Aisee fuata taratibu zote ulizoelekezwa NA daktar .........mambo ya kusikia njaa sijui nn huo niubahili ,,km havikai tumbon Basi naye ale Mara Kwa Mara ivo vyakula vilivyoelezwa NA daktat ......acha ubahili kwamke wako.

Sio ubahili mkuu hii ni wiki ya tatu sasa na anakula kila wakati anapojisikia... ila sasa kula kila siku kitu kilekile ni changamoto... docta ameruhusu ale kila kitu ila sasa hofu ni kupata choo kigumu... ndio maana tunauliza kwa wengine
Tangu siku anaruhusiwa docta alisema ale kila kitu sasa hofu yetu ni kwamba je akipata choo kigumu. Ndio maana tunauliza kwa wengine tupatiwe ushauri... hii ni wiki ya tatu

Sawa ,, Kwa mama kama huyo alomaliza kujifungua ,, SIO busara kuanza kumlisha miugali ,,,,mlishe vyakula ambavyo nilaini lkn vinanguvu kubwa sana km ndizi za mtor,, nyama n.k MPAKA pale atakapoona vema sasa kuanza kutest navyakula vingine.
Tangu siku anaruhusiwa docta alisema ale kila kitu sasa hofu yetu ni kwamba je akipata choo kigumu. Ndio maana tunauliza kwa wengine tupatiwe ushauri... hii ni wiki ya tatu
Choo kigumu ni kama anakula vyakula vikavu. Pengine ni uzazi wa kwanza, mkiwashirikisha wazazi licha ya kuwa pengine hawakupitia hii uzazi unaoendekezwa siku hizi wa kupasuliwa, wanajua vyakula gani huzalisha maziwa kwa wingi. Supu, uji wa ulezi/ mseto n.k.
Tangu siku anaruhusiwa docta alisema ale kila kitu sasa hofu yetu ni kwamba je akipata choo kigumu. Ndio maana tunauliza kwa wengine tupatiwe ushauri... hii ni wiki ya tatu
Yes, ale kila kitu kama alivyoshauriwa na matunda kwa wingi mf. Papai, ndizi, parachichi etc. Maji pia ni muhimu akizingatia hivyo hawezi pata choo kigumu.
Haaha so unahitaji ushauri mwingne zaidi ya ule wa daktari? kua makini na utakachoshauliwa. Afu next time ukiwa ujaelewa kitu uliza pale pale unapopewa ushauri.
Kuhusu kuzuia kupata choo kigumu apate maji ya kutosha na vyakula vyenye fibre, itafaa.