Chakula kipo kingi

Unakula kulingana na kazi unayofanya sasa mtu kama mwanaume wa Dar akiamka anaenda bafuni kuoga anaingia chumbani anakaa kwenye dressing table kujipodoa akitoka hapo anaenda saloon ya kike kutengeneza nywele anashindana na dada zake unategemea atakula chakula gani ni embe na pilipili chips na maji ya 50
 
ndio chanzo cha kupungua chakula nchini kila mtu akipika ugari mkubwa hivyo gara za taifa wiki hazina kitu
 
Wenye nyumba wa Dar,wakiona mpangaji anakula hivo basi anajua hata choo chake akitachukua muda kujaa,kwahiyo mwenye nyumba akikufuma unakula hivo,basi jiandae kuhama.
 
ndo mnavofanya uko mkuu??
 
hapo kuna vitu vya asili tu ...ugali wa mhogo na nyama ya kuku .mtu anakula akiingia 6by6 husikii zile tetesi eti under performance

utakuwa unasikia tu wala chips mayai ya kisasa na tomato sauce
kwahiyo mkuu ukila chipsi mayai perfomance inakua ndogo?
 
ndio chanzo cha kupungua chakula nchini kila mtu akipika ugari mkubwa hivyo gara za taifa wiki hazina kitu
acha uongo mkuu..lini food shortage ikasababishwa na kiwango cha kushiba??

kumbuka ATP consumption mwilini inategemea na nature ya kazi pamoja na umri...suluhisho ni kula ushibe ili ukafanye kazi kumbe ndo nyie tukija dar mnatukodolea wakati wa chakula!!?? acha hiyo tabia aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…