Breakfast....chai ya maziwa yenye tangawizi ya wastani,chapati au vitumbua na salo la maini(zito la kuua mtu),katlesi au samaki vibua wa kupaka waliokaangwa vizuri(nakula mpaka mifupa).
Lunch.....Ugali na nyama choma,unaweza kuweka limao nusu on the side au kachumbari au pilipili mbuzi moja.
Dinner.....pilau ya ng'ombe(nundu) na kachumbari,wali mweupe wa nazi na maharage,au ndizi mshale na mbuzi(mbavu),sitajali kama utanipikia na utumbo(taulo).
Milo miwili kwa siku lazima iambatane na Heinekken baridii!! mpaka inatoa jasho.
Mimi wifey na "mannie" my son,he's three.When I go out I prefer mexican foods.Mhh, wewe ni noma... budget yako ni kubwa!!!! haya ni ya wewe na familia yako home au binafsi mitaani... maana wengine wanaacha home ugali tagaa au tembele... halafu ona wao street wanavyojichanua
Mamboz.
Nimetamani kushare na kusikia kutoka kwa member yoyote atakeweza kushare nami hapa aina ya chakula apendacho kula, akiwa nyumbani, mgahawani au hata special outing (dinner)
Mimi binafsi napenda chapati harage nikiwa home (siku za kawaida)
W'end nipate pilau kuku
special dinner chicken sizzling au chicken pizza
daily breakfast chochote kile hata uporo unapanda tuu..
Vipi wewe mwenzangu wapendelea nini kwa nyakati tofauti???