chakula gani unakipenda sana?

Wanawake kwa chips! Hivi mlirogwa nazo ee?.....chipsi si ni viazi tu, mbona hampendi viazi vikipikwa kwa mtindo tofauti na chips?

Hahahaaa upate na kipilipili duuuh n hiyo kuku itiwe na limao au ndimu...
 
Hapa makukuru..wali..pilau..ugali.uji.viazi..nyama..makororo yote
minabugia.....napenda kilichopo mbele yangu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…