Chakula gani unaipenda sana?

Chakula gani unaipenda sana?

mi napenda nikila kitumbua nishushie na embe mkuu
 
kyukyu, jamani mie kyukyu ananitoa roho
tena akiwa na ubeche, mpunga, wandege.
 
Mimi chakula ninachokipenda ni nyama na vyakula vyote vilivyotengenezwa kwa ngano
 
njaa haikuumi ikiuma vitaendana tu tena usikute muda sio mrefu umetoka au utaenda kula.!!
dah basi wewe unazungumzia msosi wa asili
 
Mimi chakula ninachokipenda ni nyama na vyakula vyote vilivyotengenezwa kwa ngano
mkuu vyakula vilivyotengeneza kwa ngano ni kama vipi zaidi ya vitafunwa na mikate?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom