Chakula cha wabunge

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
1,301
Reaction score
741
wakuu nilikuwa naomba kujua hapo mjengoni huwa ndo chakula cha hawa viongozi wetu kinapikiwa hapo au muda wa msosi ukifika hutoka nje na kwnda kwny hotel ya jirani?kwa aliyewahi kufika pale anijuze tafadhali
 
Komba anakula vyote, cha Bunge halafu anakwenda Hoteli ya Nje
 
hata mm mwenyewe nahic hvyohivyo ka mim ni maiti sema 2 bado sina uhakika
 
wakuu nilikuwa naomba kujua hapo mjengoni huwa ndo chakula cha hawa viongozi wetu kinapikiwa hapo au muda wa msosi ukifika hutoka nje na kwnda kwny hotel ya jirani?kwa aliyewahi kufika pale anijuze tafadhali
Duuuh! Nilivyoona title tu nilidhani unamaanisha wale wajasiliamali wa Jolly club na Ohio st. Nikafungua fasta! Haya napita zangu naenda kula kwa mama zakaria mchemsho wa utumbo wa nguruwe.
 
hawali hapo hao. ile hela wanayopata si na kula humo humo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…