Chakula cha vunja mbavu.

achen utoto, leten vichekesho vilivyoenda shule, ala!



Kumbe hivi hapa chini ndo vichekesho vilivyoenda shule...maana D5 kajaa humo..!!!!!!! haya bana..I love this country.

https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/122976-so-simpo-hata-kwa-zero.html

Ndugu yangu mkuu komedi salamu......

Inakuwaje unapoteza muda na nguvu nyingi namna hii kubishana na mtu ambaye kwa hesabu na busara za kawaida inaonyesha naye alikuwa anafanya matani? Sioni chochote cha kukufanya utoke povu namna hii, badala ya kuendelea na mtiririko mzuri wa thread yako.....Usipoteze siku zako za kuishi kwa kubishana na kumtukana mtu ambaye hata humfahamu........na kutukana siku zote si busara wala sifa kwa yeyote waye yule.... vuta pumzi!:bored:
 

naona D5 ana njaa, mpatie juice ya ulezi na karanga mbichi na maji ya asali, changanya na ile keki ya mlenda ... atatulia
 
Eti vilivyopo hapa ni Pilao na Mlenda, asubuhi hii, basi nipe ninywe hivyo hivyo.
 



Kwa heshima yako kama PM na kwa heshima ya LD aliyekubaliana nawe kwa Senks, ni wazi kwamba D5 ambaye kwangu ni mkubwa kicheo hapa jamvini yuko sahihi.....

Mimi hapa ni mdogo kwenu na kaka kanipiga kwenzi kwa kunionea.... nimemrushia mawe, wajomba mmekuja mnanichapa.

Poa nafuata ushauri wa D5 mkubwa wangu......Naenda shule kwanza na nitasubiri niwe mtu mzima kwanza h'fu ndo tuendelee.
 
wana jf this is not a joke>few month's back nilikua new delhi india nimekula rost ya fenesi changa.
 

basi mkuu msamehe,naimani hatarudia tena labda awe kichwa maji
 
Bufee ya leo itakuwa murua...yule dada mtengeneza sambusa za pipi kifua amesema atatutengenezea keki ya mlenda kwa ajili ya desert.

daah.. nimepata hamu (uchu) mpaka mate yamenitoka masikioni!!!!
 
mimi hupenda kula mishkaki ya konokono na chura pia hunywa cocktail juisi ya bamia na nyanyachungu!
 
mh,mi kumbi kumbi kwa mlenda,hapo hunitoi
 
mimi hupenda kula mishkaki ya konokono na chura pia hunywa cocktail juisi ya bamia na nyanyachungu!

mhhh! Sijui kama nahisi kutapika tapika vile? Naombeni juice ya kamasi nasikia huwa inakata kichefu chefu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…