Dr leader
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 1,046
- 1,349
Chakula Cha Ubongo
Ni hakika muda huenda kama upanga unavyokata
Napenda nikushirikishe machache niliyojifunza sote tupate kuchukua hatua
♤♡Kila Hatua Na Watu Wake
Usilazimishe mtu katika safari yako wewe nenda utakutana na watu huko mbele ukipanda kiuchumi utakutana na watu wapya ukishuka utakuna na wapya
Wawe maadui au marafiki kubali kuwaacha wa sasa na uende mbele kila unayekutana nae anafaida kwako au hasara mtumie kila mtu vizuri
♤♡Kuwa Na Malengo
Dunia ni uwanja wa fujo bila kuchagua njia yako utafuta njia za wengine na hutafika utakapo kufuata njia za kila mtu utabaki pale pale
Lazima ujue unapoenda ili ujenge tamaa ya kupafikia tamaa itakupa kiu na ari muda ni sasa mwenye kujipinda kufanya juhudi hupata atakacho
♡♤Usiwe Muoga
Dunia haina huruma
Usiogope wala kuhuzunika kuwa nafuraha halisi ndani yako upole ukizidi ni uoga wanaofikia malengo yao ni majasiri sio watu waoga wanachukua hatari bila khofu usiogope lawama za wenye kulaumu tabasamu kisha songa mbele
♤♡Usidharau Watu
Iwe kwa kazi zao mavazi yao makabila yao familia zao ukoo wao maisha ya mwanadamu kama kinyonga kila mtu ni muhimu katika safari yako ukidharau watu nawe watakudharau na watu ndio mtaji wetu achana na yasiyokuhusu mpe kila mtu heshima anayostahili
♤♡Usimwamini Kila Mtu
Sisi tuna sura 2 na kila mtu nafsi yake anijua mwenyewe na yale anayoyakusudia
♤♡Heshimu Vya Watu
Na watu wataheshimu vitu vyako kuheshimu vya watu ni kulinda vitu vyako kulinda heshima yako na familia yako heshimu watu na mali zao wake zao au waume zao na watoto wao
♤♡Usiwe Mtu Wa Matarajio Makubwa
Huenda yakakuathiri mambo yanapobadilika taraji kias na kila jambo ligawe mara 3 faida yake hasara zake liwekee na mpango wa kando (plan b) utapunguza presha
Fanya sasa na sio leo
Kughairisha ni sababu kubwa inakufelisha hii ndio inakufanya kila siku kuwa mahali ulipo neno ningefanya lina maumivu makali sana
Teja wa huba
Abuuabdillah
0744883353