Chakula cha ubongo: Lumumba University vs Ufipa University

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,197
25,517
Fact No. 1: CCM na CHADEMA zimeamua kuanzisha Vyuo Vikuu vya kisiasa na nyanja nyinginezo.

Fact No. 2: Chuo Kikuu cha CCM kinaitwa Lumumba University. Cha CHADEMA kinaitwa Ufipa University.

Fact No. 3:Wahadhiri ni viongozi na wanachama wa sasa wa CCM na CHADEMA kwa Lumumba University na Ufipa University kama zilivyotajwa.

Fact No. 4: Waombaji,wanafunzi watarajiwa,wanavutiwa na uwezo wa kujenga hoja,uwezo wa uvumilivu wa kisiasa,ubunifu na ubora wa elimu watakayoipata.

Chuo Kikuu kipi kati ya Lumumba na Ufipa kitapata wanafunzi wengi,hata kama ada na gharama nyinginezo ziko sawa?
 
Vijana watakaoenda Lumumba University bila shaka watakuwa wamezidiwa na matumbo zaidi kuliko ufikiri.

Vijana wa UFIPA wakiwa na wahadhiri kama Tundu Lissu, pamoja na viongozi wengine wa kisiasa hakika wataiva sawa sawa. Watakomaa haswa. Hebu tuchukulie Mkulu ndo anakuwa Mwalimu wa kisiasa, ayawafundisha nini wanafunzi wake wale? Hahaha......

Bila shaka kutokana na Mamluki, Chuo Cha Lumumba kitajaa sana kulinganisha na UFIPA. Chuo cha Ufipa hakitahitaji Mambumbumbu kama somebody Bashite.
 
LUMUMBA UNIVERSITY
+Staff list
VC-KINANA...DIP.KIVUKONI,MILITARY SCIENCE
DVC-MPOGOLO
-Faculty of law
Dean.Vacant
-Faculty of Social science@Politics
Dean.Pole pole..dip
-Faculty of Commerce
Dean.Vacant
-Faculty of Mass commmunication
Dean.Thadei Ole Mushi
David Maphone
-Faculty of Education
Dean.Vacant

UFIPA UNIVERSITY

Staff List
VC-DK.MASHINJI..BA.MED
DVC-JOHN MNYIKA
DVC-SALUM MWALUM

-Faculty of law
Dean.Tundu Lissu..llb.Udsm.llm.Uk
Ass Dean.Kibatala..llb.mzumbe.pgd
Visiting Prof: Prof.Abdalah Safari

-Faculty of Social Science@Politics
Dean.Prof.Mwesiga Baregu
Ass Dean.Mwita waitara.Bedu.Chem
Visiting lecturer.Edward Lowassa
Fredrick Sumaye
Department of political movement
.Godbless Lema
Department of Gender
.Halima Mdee
-Faculty of Mass communcaition
Dean.John Mrema.Ba.Political Science
Ass.Dean.Tumaini Makene.Ba.Mass.Saut
Social Media Specialist.Ben Saanane
Godlisten Malisa

-Faculty of Commerce
Dean.Anthony Komu.Ba.Econo
Ass Dean.David Silinde.Bcom.Udsm

Department of Security Studies
Hod.Wilfred Lwakatare
-Boniface Jacob
Visiting Lecturer.Mabere Marando
 
Vijana watakaoenda Lumumba University bila shaka watakuwa wamezidiwa na matumbo zaidi kuliko ufikiri.
Ukomo wa fikra kutoka Chadema, wanatamani watu wote wawe Chadema, ukiwa CCM basi unafuata maslai..
 
watu wa ufipa wana uwezo mdogo sana wa kufikiri.
Wanatumia nguvu nyingi sana kuhoji alipo kinana na kufuatilia rambirambi ambazo wao hawajachanga,kuliko kumfuatilia alipo mwanachama mwenzao Ben saanane
Ni bora wenye uwezo mdogo kuliko Lumumba FC wasio na uwezo kabisa
 
Fact No. 1: CCM na CHADEMA zimeamua kuanzisha Vyuo Vikuu vya kisiasa na nyanja nyinginezo.

Fact No. 2: Chuo Kikuu cha CCM kinaitwa Lumumba University. Cha CHADEMA kinaitwa Ufipa University.

Fact No. 3:Wahadhiri ni viongozi na wanachama wa sasa wa CCM na CHADEMA kwa Lumumba University na Ufipa University kama zilivyotajwa.

Fact No. 4: Waombaji,wanafunzi watarajiwa,wanavutiwa na uwezo wa kujenga hoja,uwezo wa uvumilivu wa kisiasa,ubunifu na ubora wa elimu watakayoipata.

Chuo Kikuu kipi kati ya Lumumba na Ufipa kitapata wanafunzi wengi,hata kama ada na gharama nyinginezo ziko sawa?
Ufipa university inatisha.
 
watu wa ufipa wana uwezo mdogo sana wa kufikiri.
Wanatumia nguvu nyingi sana kuhoji alipo kinana na kufuatilia rambirambi ambazo wao hawajachanga,kuliko kumfuatilia alipo mwanachama mwenzao Ben saanane
Ni kweli chadema kwa sasa uwezo wa kujenga hoja mdogo mno slaa na mtandao wake ndio walikuwa na hoja nzito kuweza kushindana na wana CCM mtandao hawa waliopo wepesi mno. Sababu unajua kabisa wanajadili sana matukio.mfano mtu akiandika Mbunge wa CCM alazwa kwa TB utaona watakavyo jaa humu na chadema yaweza itisha kikao cha kamati kuu kutoa tamko la chadema kuwa afukuzwe ubunge asiwaambukize TB na Lisu atakuja na vifungu vya kuokoteza hapa na pale kuunga mkono tamko la chama chake. Mtandao wa Great thinkers umeondoka baada ya Slaa kuondoka. Huu Mtandao wa mbowe too Low
 
Ufipa university inatisha.
Hata jengo la ofisi hawana. Uchagani kuna msemo kuwa akili ni kitu kinachoonekana mtu akisema ana akili kwanza akuonyeshe nyumba yake pili biashara yake tatu gari yake. Hicho kijumba hapo ufipa makao makuu Ya chadema unaweza sema hao watu wamemaliza university iwe ufipa au machame university unaweza pia sema wana Akili?
 
Na upande mwingine utajaza Mbwea na Nguruwe pori.
Hizi hoja mfano hii iliyoletwa na mleta ambaye ni chadema Ndio picha halisi Ya thinkers wa mtandao wa mbowe na tundu hawajui kuibui hoja nzito kwa discussion humu ungetarajia msomi kama yeye tena wa sheria aibue mijadala mizito mfano gari iliyoua watoto wa St Vincent ilikuwa haina bima majeruhi na wafiwa watalipwaje? Lakini kutoka na upeo wake finyu analeta maada tujadili vyuo hewa ambavyo havipo na tujadili graduates hewa ambao vyuo hivyo havijawahi toa. Sijadili tena hii inanipunguzia IQ yangU bye bye
 
Hata jengo la ofisi hawana. Uchagani kuna msemo kuwa akili ni kitu kinachoonekana mtu akisema ana akili kwanza akuonyeshe nyumba yake pili biashara yake tatu gari yake. Hicho kijumba hapo ufipa makao makuu Ya chadema unaweza sema hao watu wamemaliza university iwe ufipa au machame university unaweza pia sema wana Akili?
Nilijibu swali! Kama ungekuwa na majibu yaliyosahihi ulikuwa na sababu gani kuuliza? Kama Ufipa university ingekuwa haitishi, nini sababu ya kuzuia mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa? Kama Ufipa University ingekuwa haitishi, kwa nini haujalinganisha Lumumba University na Manzese University au hata Buguruni University?

Ufipa inatisha bwana!
 
Back
Top Bottom