Chakula cha ubongo (food for thought)

Chakula cha ubongo (food for thought)

kuwa na mitazamo tofauti juu ya jambo moja sio tatizo, inategemea na wewe jinsi unavyo litazima kutokea hapo ulipo.

ila tatizo linakuja pale unapo lazimisha watu wote walielewe jambo hilo kwa mtizamo wako wewe.

inawezekana kabisa pande zote mbili zenye mitazamo tofauti wakawa sahihi ila inategemea msingi na makusudio ya jambo lenyewe.

msingi na makusudio ya jambo husika ndio mtizamo sahihi.
mimi niliye andika "W" niko sahihi kwakuwa ndiye niliye andika na nilimaanisha kuandika "w" na sio "M" wala 3 wala E, hivyo mitazamo mengine sio.
7969003a49be87b104b5afcfbc5b4afb.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitazamo inatofautiana sana , tofauti inaweza ikatokana na Engle uliyo simama.
Tusihukumi mitazamo ya wenzetu kwa sababu hatujui wamesimama upande upi unawapa nafasi ya kuona.
FB_IMG_16903038995838042.jpg
 
Back
Top Bottom