Isengelo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2017
- 539
- 926
Hahahaaaaaa ndo maana kitamu Kama "K"Wengine (nasikia )wanapika uchi wa mnyama..ingawa huwezi kuona..wengine wanatumia maji yaliyochambiwa kwenye "k" zao..
Hahahaaaaaa ndo maana kitamu Kama "K"Wengine (nasikia )wanapika uchi wa mnyama..ingawa huwezi kuona..wengine wanatumia maji yaliyochambiwa kwenye "k" zao..

Kwa maisha ya Kitanzania hakuna mtu ambaye hajawahi kula chakula cha mtaani /vibanda hodi /uchochoroni au kwa jina maarufu 'Mama Ntilie'.
Bei yake huwa ni ya kawaida sana (pengine robo ya chakula cha hotelini) na huwa kinawekwa kingi sana kwa jina maarufu 'cha kushiba'.
Zifuatazo ni sifa au tabia za chakula cha mama ntilie:-
1. Ujazo wake ni mkubwa sana (cha kushiba)
2. Rosti yake (mchuzi wa nyama/samaki) huwa ni mzito sana unaovutia machoni. Masalu hufanya kazi yake.
3. Bei yake huwa inaanzia TZS 800.000 mpk TZS 1.5000 kwa sahani moja
4. Huwa kinagombaniwa sana
5. Bakuli na sahani huwa ni chache sana na huwazinasuuzwa tu na kuwekea chakula cha mlaji mwingine
6. Wapishi wengi huwa wanene
7. Mazingira huwa machafu sana. Ila chakula kitamu
8. Chakula hiki huisha mapema sana
Nini siri ya utamu wa vyakula ambavyo hupikwa sehemu chafuchafu. Hata Kitimoto nae anahusika!
aaagh mkuu wife ni Zaidi ya misosi ina maana mamalishe atakupa mbunye, kukufulia nguo, kukupa joto usiku, kukukumbusha kunywa dawa, kukuzalia watoto n.k. Mke ni taasisi sio chakula tuUkizoea kwa mama n'ntilie unaweza usioe elfu 1500 mboga 3 wali kumwaga

aaagh mkuu wife ni Zaidi ya misosi ina maana mamalishe atakupa mbunye, kukufulia nguo, kukupa joto usiku, kukukumbusha kunywa dawa, kukuzalia watoto n.k. Mke ni taasisi sio chakula tu
3. Bei yake huwa inaanzia TZS 800.000 mpk TZS 1.5000 kwa sahani moja
Bei nafuu na wingi wa chakula,sababu ni tatu, hawalipi kodi kubwa, Ada ndogo ya maeneo ya Biashara, gharama ndogo ya usafi na uendeshaji.
Mimi sijawahi kula kwa mama ntilie kwani Nina kinyaa sana, wakitoka chooni hawanawi wanaendelea tu kupika mikono imebeba kinyesi halafu utakuta anashika nyanya anakatakata, ndiyo maana mnasema mchuzi ni mzito halafu mtamu kumbe mnakula mavi, wakati mwingine wanashika tambala la kudekia kula wakati bila kunawa mikono kwa maji na sabuni wanaendelea kushika vyakula, wengine mbaya zaidi wana watoto wachanga kutwa wakiwatawaza watoto mavi halafu hawanawi mikono yao kwa maji yanayotitirika na sabuni