Chasa nataka kukuuliza maswali coz leo nmekupata,kwanza we ndo uli-influence kuingia kwenye industry ubarikiwe sana huna choyo!
1.nina vifaranga wangu wana umri wa mwezi 1 wa kienyeji wananyoka manyoya ila sio sana.ni tatizo gani?
2.Kuna miti inaitwa Lucina nmeanza kuwapa eti nikweli yana protein kwa wingi.
3. nataka kufuga kuku wa mayai wa kisasa nipandishe na majogoo ya kienyeji,je watoto wanaweza kujichunga kama wa kienyeji pia?
ni hayo tu mkuu