Chakor kwenye series ya Udaan sapnoki

msangi360

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
283
Reaction score
309

Hii series ya Udaan sapnoki ulishawahi kuiangalia, na ulielewaje jinsi alivokuwa anaigiza mtoto Chakor.??????!
 
Hii series ya Udaan sapnoki ulishawahi kuiangalia, na ulielewaje jinsi alivokuwa anaigiza mtoto Chakor.??????!
series nzuri sana hii kuiangalia ila ina muda mrefu mpaka episode ya 700 na bado inaendelea.....haijaisha tu mtoa mada
 
nzuri sana inafundsha na inaburudisha
mi nko 461....
 
series nzuri sana hii kuiangalia ila ina muda mrefu mpaka episode ya 700 na bado inaendelea.....haijaisha tu mtoa mada
Hii series nimeangalia mpaka episode ya 100 hivi nikaona inanifanya silali usiku...
 
Colors Tz huwa wanairusha
Niliiban kuiangalia lakini nindefu sana sijaimaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…