CHAKAMWATA vs C.W.T

Mr PJ

Senior Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
103
Reaction score
203
Hivi kuna tatizo gani kati ya hivi vyama viwili? Nauliza serikali kwa sababu watumishi hasa waalimu tuliojiunga na CHAKAMWATA tumekua tukikatwa na vyama vyote viwili isitoshe C. W. T imekua ikitumia nguvu kulazimisha wanachama wapya kujiunga kwa lazima bila hata kuingia nao mkataba.

Serikali ituthibitishie sasa sisi waalimu kuna nini kinachoendelea kama kuna vyama viwili kwanini wanakifavour sana kimoja? Uongozi wa CHAKAMWATA mnakwama wapi wanachama wenu tunanyanyasika ?

Sauti ya Nyika​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…