Chaji Simu yako kwa dakika mmoja

Sijaandika kuwa Mzungu ni balaa kwa kutengeneza hiyo rechargeable battery.

Mkuu "Proffesa" :lol: Issa yeye amenishangaza kufahamu leo kuwa Wazungu ni "balaa" na wakati sote hapa tunafahamu Wazungu ni "balaa" kwa miaka mingi.

Na ulipoanza kushutumu jina lake la mwisho ulikuwa na maana gani? wacha wewe, sema nimekushika patamu tu. Ulishaanza kutia Sumu.

Hiki hapa ulichokiandika, usitake kuyakana maandiko yako baada ya kukuonesha ujinga wako:

By Sumu


Hilo jina lako la mwisho inawezekana ndo limefanya ukachukua muda mrefu kuukubali uwezo wa Wazungu.

Wazungu ni "balaa" kweli miaka mingi.
Punguani wahed.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…