Chaji Simu yako kwa dakika mmoja

proffesa issa

Senior Member
Joined
Jan 6, 2015
Posts
118
Reaction score
51
wadau.wasomi kutoka chuo cha stanford univesity,california wamegundua betri mpya za simu ambazo zitajaa chaji ndani ya dakika moja tu.
================

Chanzo:millardayo
 
Hilo jina lako la mwisho inawezekana ndo limefanya ukachukua muda mrefu kuukubali uwezo wa Wazungu.

Wazungu ni "balaa" kweli miaka mingi.
 
Hilo jina lako la mwisho inawezekana ndo limefanya ukachukua muda mrefu kuukubali uwezo wa Wazungu.

Wazungu ni "balaa" kweli miaka mingi.

Hata habari hujaisoma umekurupuka, kuna mzungu hapo?, jisomee:

Lead author and professor of chemistry at the university, Hongjie Dai, said: 'We have developed a rechargeable aluminium battery that may replace existing storage devices, such as alkaline batteries, which are bad for the environment, and lithium-ion batteries, which occasionally burst into flames...


Stanford graduate student Ming Gong added: 'The electrolyte is basically a salt that's liquid at room temperature, so it's very safe.

Read more: Phone battery that charges in 1 minute created at Stanford University | Daily Mail Online

Lilishaingiza udini usio na mpango.

Punguani wahed.



 
Ahaha duh

tumeshamaliza swala la nani ana haki ya kuchinja, tunaendelea na uvumbuzi mwingine wa mahakama baada ya hapo tutaendelea kukuza teknolojia yetu kwa kulazimisha ndoa za wake 4.
 

Ngoja tusubiri huku 3WC sijui zitafika lini???
 

thanks
 
betri tunazotumia sasa zinatumia mda mwing kuchajiwa lakn hizo mpya walizogundua zitatumia dakika moja tu kuchajiwa

mi nakubali manakae nina yangu new version, nachaji 45min inajaa full, then inakaa siku nzima huku nikibrowse nitakavyo
 

Sijaandika kuwa Mzungu ni balaa kwa kutengeneza hiyo rechargeable battery.

Mkuu "Proffesa" :lol: Issa yeye amenishangaza kufahamu leo kuwa Wazungu ni "balaa" na wakati sote hapa tunafahamu Wazungu ni "balaa" kwa miaka mingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ