yaser JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 1,361 Reaction score 299 Apr 23, 2016 #1 Habarini za asubuh wadau, nimeibiwa laptop yangu ya HP juzi maeneo ya kigamboni na kuniachia chaja tu. kwa hyo nmeamua kuiuza maana sina kazi nayo. Bado mpya kabisa ina kama mwenzi mmoja tu. Anayejitaj anichek 0713806766.
Habarini za asubuh wadau, nimeibiwa laptop yangu ya HP juzi maeneo ya kigamboni na kuniachia chaja tu. kwa hyo nmeamua kuiuza maana sina kazi nayo. Bado mpya kabisa ina kama mwenzi mmoja tu. Anayejitaj anichek 0713806766.
MGOGO27 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2016 Posts 459 Reaction score 219 Apr 23, 2016 #2 Bei gani kada?