Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,490
Dunia simama nishuke mieeeDuhh.....[emoji15] [emoji15]
Mdomo wangu umebaki wazi...[emoji47] [emoji47]
Dunia simama nishuke mieeeDuhh.....[emoji15] [emoji15]
Mdomo wangu umebaki wazi...[emoji47] [emoji47]
Nilimwambia atakufa akafa kweliDunia simama nishuke mieee
Mwenzanguu niliuona janaa na miee... Sijui leo nimefikaje hapa teena....
Tutakutana kanisani, mindonaingia kwa ibada ya 3Mwenzanguu niliuona janaa na miee... Sijui leo nimefikaje hapa teena....
Hebu tuondoke bhanaa [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji15] [emoji15]
Tunapishana sasa... Mie baada ya ule uzi usiku niliamkia misa ya kwanzaTutakutana kanisani, mindonaingia kwa ibada ya 3
Anafanya kila liwezekano kujaribu kutufanya kufuata njia Yake.
Hiki cha mr yooooooo
Anachokalia Mombasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasaaaa..ukikaa hapo si unakua tu kama UMEPAKATWA NA HILO SKELETON!??
I DONT NEED POWERS,peleka mombasa labda!
Mshana jr:kuja kufahamu Akili yako labda nizaliwe kwa mara nyingine.
Kachukue machinjioni.Ingekuwa mkojo, ningeutoa fast, ila hiyo mmmmmhhh!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naamini kuna nyingine nyingi hujazionaMshana jr:kuja kufahamu Akili yako labda nizaliwe kwa mara nyingine.
Unakumbuka uziwa wako uliotoa hapa usiku wa maiti? Nitachelewa sana kukufahamu kiukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeziona zote,labda kombora ambazo utakujanazo ndio sijaona.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naamini kuna nyingine nyingi hujaziona
Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond kashatumia sana mambo kama haya na zama zake zinaanza kutoweka kama alisanda firauni baba wa wictchcraft sembuse huyu mtoto wa tandale always power inatoka kwa MUUMBA acha kupotosha watu we mzee wa castle milk
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Diamond kashatumia sana mambo kama haya na zama zake zinaanza kutoweka kama alisanda firauni baba wa wictchcraft sembuse huyu mtoto wa tandale always power inatoka kwa MUUMBA acha kupotosha watu we mzee wa castle milk