Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,512
- 860,555
Ingekuwa mkojo, ningeutoa fast, ila hiyo mmmmmhhh!!
Damu ya mbuzi ,ya kondoo ya ng'ombe au ya nguruwe..........?
Duhh.....[emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huo peleka maabara kwa mkemia mkubwaIngekuwa mkojo, ningeutoa fast, ila hiyo mmmmmhhh!!
Kuna saidia huko kujikwamua... Ni swala la kujiongeza tuu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Damu yenye uzitoDamu ya mbuzi ,ya kondoo ya ng'ombe au ya nguruwe..........?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naingia sebuleni kwangu saa moja usiku taa haijawashwa nipo na wife...
"Heeeee!!! Yeeeessuuuu (halafu unakumbuka kumbe ni kile kiti) dah hiki kiti kitakuja kuniua"
"Mume wangu ndo hadi kujikojolea!!?"