Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,991
- 831,560
Ingekuwa mkojo, ningeutoa fast, ila hiyo mmmmmhhh!!
Damu ya mbuzi ,ya kondoo ya ng'ombe au ya nguruwe..........?
Duhh.....

Ingekuwa mkojo, ningeutoa fast, ila hiyo mmmmmhhh!!
huo peleka maabara kwa mkemia mkubwa
Damu yenye uzitoDamu ya mbuzi ,ya kondoo ya ng'ombe au ya nguruwe..........?
Naingia sebuleni kwangu saa moja usiku taa haijawashwa nipo na wife...
"Heeeee!!! Yeeeessuuuu (halafu unakumbuka kumbe ni kile kiti) dah hiki kiti kitakuja kuniua"
"Mume wangu ndo hadi kujikojolea!!?"