Chain Of Command: Dkt. Mpango hajui mipaka yake

Samia hata kwa sasa haagizi... Anaweza akashangaa jambo bila kutoa maagizo... Labda anamtuma makamu aagize kwa niaba yake, then aendelee ku keep sifa ya ustaarabu, usikivu na motherly figure
 

Suala la fedha alipewa siku ile ile alipoapishwa. Tumuache Mama afanye kazi yake. Ninaogopa sana yale makundi ya 2015 yanavyohangaika ili yajipatie nafasi
 
Sawas
portifolio Kikatiba VP anayo kwenye Mazingira na Muungano. VP hana Mamlaka yoyote kwenye Utendaji wa Serikali. Ni ceremonial position, Ni reserve, Ni spare ya Presidaa ikitokea (Mungu aepushe)
Naunga mkono hoja
 
Unaongea kama uliwahi kuwa Makamu wa Rais, ukastaafu na sasa umepumzika Kijijini!
 
Dah! kwahiyo likitokea la kutokea kwa Mama huyu Mpango ndio anakuwa amiri jeshi mkuu?
Ina maana anasubiri wachawi wafanye yao. Usikute ndio maombi yake. Dah hiki cheo sio wakitoe tu. Kuna watoto huwa wanamtazama dingi avute watumie mali, Il asio huyu jamani
 
Jomba wewe huelewi kaa kimyaa..mama Rais mwenyewe alitamka kuwa upande wa fedha kama alivyokuwa kabla ataendelea kusimamia masuala ya fedha kwa kuwa yeye ndio mtaalam na mzoefu..acha wivu jombaaaa...Rais anamtegemea sana upabde huo was mapato na matumizi..msimchukulie poa
 
Nyerere alisitaafu kabla ya Kawawa. Na si kweli kwamba Nyerere alikuwa anamgeuka Kawawa.

Mie nakumbuka Kawawa alikuwa mtani wa kila mtu. Tukiwa wadogo Kawawa alitaniwa kuwa ni kiongozi ambae hajasoma.
Pia alitaniwa wakienda Ulaya na Nyerere Kawawa ati alikuwa mshamba. Mfano utani mmoja wapo kuwa walienda Ulaya kule ukimaliza kunywa chai unafunika kikombe kuhashiria uhitaji tena. Sasa Kawawa yeye hajui akawa hafuniki. Nao wanamuongeza chai. Kanywa hadi anahemea juujuu.
Nyerere ikabidi amwambie kwa kiswahili Kawawa funika kikombe la sivyo utaongezewa chai. Ndo kawawa anashituka.
Nyingine walipo fika ulaya Kawawa kaingia chumbani hakukuwa na kitu akalala chini. Nyerere anamwamsha asubuhi anakuta Kawawa kalala chini akamshangaa, ndipo Nyerere akabonyeza kitanda kikatokea. Kawawa halikuwa hajui. Akamwambia Nyerere mie nalala kulipiza usingizi hata hakwenda katika kikao. Mara walimtania Kawawa hakujua kiingereza.
Lakini haikuwai kutokea Kawawa kukasirika.
Alikuwa mnyenyekevu na mpole. Alichapa kazi. Nyerere aliweza mtoa kuwa waziri mkuu akabaki waziri wa kawaida au wakat mwingine waziri hasie na wizara maalum. Kawawa akasiriki anachapa kazi.
Hana kinyongo. Si mawaziri wa leo akiachwa au kubadilishiwa wizara wanafura wanaanza majungu. Kawawa alikuwa simple. Nilimpenda.
 
Bado ana kihali fulani cha ushamba wa madaraka. I was so surprised kuona anaenda kutembelea kaburi yani why?

Atulize mananihii aliyoyasema atufigwegwe kule Iringa 😃
Hahahahhahaaa...bado ana utii kwa mwendazake...ajabu sana kutembelea.
 
Wakati mwingine ni ngumu kujua WATZ wanataka nini.Kila mtu mjuaji,Ila kuna wanaojitahidi kubalance hoja,kwamba huwezi kujua Rais na VP wamekubaliana watende kazi kwa style gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…