Hicho cheo kinawafaa wazinzibar hata uliowataja ni wazinzibar ndio maana wakafit kwenye nafasi hiyo.Mpango anatakiwa awe kama Samia alivyokuwa kipindi cha Jiwe au Bilal na Shein walivyokuwa kipindi cha Kikwete
Tangu ateuliwe Kama Makamu wa Rais Dr. Mpango amekuwa akitoa kauli za Kiutendaji bila kujali Mipaka ya Majukumu yake.
Mara ya Kwanza alisikika akimuagiza Waziri wa Fedha akusanye Tilioni 2. Bila kujua kwamba Mamlaka hayo ni ya Rais kwenda kwa Waziri wa Fedha kisha Kamishna Mkuu TRA.
Pili, Tena kasikika akiwaagiza Wakuu wa Mikoa Masuala ya Kinidhamu bila kujua kwamba, Mamlaka ya uteuzi na maagizo ya Kinidhamu yako Ofisi ya Rais - Tamisemi.
Huyu Dr anasahau kuwa yeye ni reserve wa Rais endapo litatokea (Mungu aepushe mbali). Na kwamba Mamlaka yake ya Maagizo ya Kiutendaji yako kwenye Mazingira na Muungano.
Afundwe huyu.
Kwa sababu tuko kwenye Mjadala, hebu tupe Chain of Command ya Utendaji wa VP kikatiba. Ukiachana na Majukumu ya Muungano na Mazingira.Huu ni upotoshaji. Ukiachilia mbali majukumu ya kila siku ya portfolio yake, VP anatekeleza kazi yoyote anayotumwa na Rais kuifanya. Rais hahitaji kukutanganzia wewe kila anapomtuma VP wake kufanya kazi fulani.
Hajafanya violation of chain of command yoyote. VP anaingia wizara yoyote, idara yoyote, mkoa wowote. Yeye ni Naibu Rais; sio mchezaji wa akiba per se, kama unavyojaribu kutuaminisha. Jifunze upya organizational structure ya URT.
Kwa hiyo unachojaribu kusema, VP anatengenezewa nafasi ya utendaji mpya ndani ya Serikali ili na yeye awe sehemu ya Shughuli za Kila Siku, yaaani Rais kwenda kwa Makamu Then Kwa Waziri Mkuu, kwa Mwaziri....Huyu kwa makusudi amepewa sauti ili iwepo balance ya kiuongozi.
Hawawezi wote wawili wakawa ni baridi, watashindwa mapema sana.
Na ndani ya vikao Rais atakuwa anawapa presha kubwa wasaidizi wake ili afidie ustaarabu anaounyesha akiwa mbele wa macho ya watu.
Asaidie kumshauri lakini sio kusimama hadharani na kutoa maagizo na maelekezo yanayopaswa kutolewa na Rais tena akiwa hai mwenye afya na yupo nchini. Mkuu unadhani Mamlaka ya Rais na Makamu wa Rais yako sawa? La hasha, Kikatiba VP hayuko kabisa kwenye Chain of Command ya Utendaji wa Kila Siku wa Serikali. Yeye kapewa Majukumu ya Kumsaidia Rais kwenye Mazingira na Muungano. Pia kumshauri President kwenye kutenda. labda kama tunahitaji kuibadili katiba na kumuongeza VP kwenye utendaji basi sawa, tubadili Katiba kwanza.Mwacheni VP afanye kazi kwa ukaribu na mama. Mnataka kumtenga mbali na mama ili iweje? Mnataka mama abaki peke yake ili alemewe kazi halafu mmsimange?
Mama usiwasikilize hawa, wanataka ujitenge kama kisiwa ili mambo yasipoenda vizuri wakusute. VP wako ni mtaalam wa uchumi, atakusaidia sana. Usiwasikilize hawa wapuuzi wa chadema.
Mama mwenyewe siku anahutubia alimpa hiyo kazi na kumbuka hata yeye alisema nitafanya kazi zangu na maagizo yoyote kwa Raisi nitakeleza. Mama alimwambia anataka amsaidie katika mambo ya uchumi kwa hiyo hana kosa lolote akipewa kazi hawezi kusema hii sio kazi yangu, kila Rais ananjia zake za kufanya kazi. Kusema hana mamlaka nao sio sawa maana hata waziri mkuu hana mamlaka na waziri yoyote au wateuliwa wengine lakini haifanyo kutofanya kazi jana tu Tanesco wakurugenzi kasema hawa sina mamlaka nao lakini kawapa maagizo.Ajikite kwenye mazingira na muungano, otherwise akumbushwe kuwa VP position hapa Tz ni more of a ceremonial position- ni nafasi ya kula bata kimyakimya.
Mdogo mdogo ataelewa, hakuwai tegemea cheo Kama Cha Sasa , viongonzi huandaliwa,ila pia ni kipaji that's tumeona alichokifanya mh Makongoro wakati anaapishwa WATU wanashangaa na kuponda kwamba ni maigizo,ila ukweli Makongoro ni kiongozi na hakutakiwa kuwa pale maana anajua nini afanye wakati gani mda gani uliosahii, ukimfuatilia tangu Kipindi Cha kutia nia 2015, Kama ni mapungufu mengine basi ni yale tu ya kibinadam ,but yupo smart sanaTangu ateuliwe Kama Makamu wa Rais Dr. Mpango amekuwa akitoa kauli za Kiutendaji bila kujali Mipaka ya Majukumu yake.
Mara ya Kwanza alisikika akimuagiza Waziri wa Fedha akusanye Tilioni 2. Bila kujua kwamba Mamlaka hayo ni ya Rais kwenda kwa Waziri wa Fedha kisha Kamishna Mkuu TRA.
Pili, Tena kasikika akiwaagiza Wakuu wa Mikoa Masuala ya Kinidhamu bila kujua kwamba, Mamlaka ya uteuzi na maagizo ya Kinidhamu yako Ofisi ya Rais - Tamisemi.
Huyu Dr anasahau kuwa yeye ni reserve wa Rais endapo litatokea (Mungu aepushe mbali). Na kwamba Mamlaka yake ya Maagizo ya Kiutendaji yako kwenye Mazingira na Muungano.
Afundwe huyu.
Waziri mkuu hawajibiki kwa makamu wa Rais?Kwa Kumbukumbu Kawawa alikuwa Waziri Mkuu. Hata kama alivikwa cheo cha Makamu wa Pili wa Rais bado alikuwa na Authority kama Mkuu wa Shughuli za Utendaji Serikalini. Lakini Makamu wa Rais sidhani kama Chain of Command inampasa afanye hivyo anavyofanya.
Kwa sababu tuko kwenye Mjadala, hebu tupe Chain of Command ya Utendaji wa VP kikatiba. Ukiachana na Majukumu ya Muungano na Mazingira.
Ni kweli pale karimjee hall miaka ya tisiniEeeenhee Heee,
Wewe mtu una historia..., halafu humo humo unajaza sukari na chumvi.
Eti "Nyerere alitoan machozi..."!
Sasa wewe unaejua vifungu njoo na hivyo vifungu tuone Umahili wako Mkuu. Majukumu ya VP kwenye Muungano yako Mahsusi Kikatiba. Sasa wewe unaetaka kuhalalisha Maajukumu mengine kiutendaji njoo na Hivyo VifunguUlipaswa kuijenga na kuitetea hoja yako kwa kunukuu ibara za Katiba zinazobainisha majukumu ya Makamu wa Rais. Ilivyo sasa, hoja yako ni yatima, kwa sababu it’s totally unsupported!
Naomba rais ateue malaika toka mbinguni japo Naye nyumbu watamnanga sanaaa😂😂kabisa. Kuna Changamoto nyingi sana za Mazingira na Muungano. Ajikite kuhakikisha tunapata Mazingira Safi na Salama ya kuishi. Takataka ziondolewe, Muungano uimalike tuishi kidugu zaidi.
Keybord worriers,hv mkuu bawacha kule dom walimalizana na ndugai wao au imeishia kama Amsterdam na ICC?Watu wa Kigoma ni shida,siku si nyingi Mama atajuta.
Sifa Kubwa ya Watani zangu Waha ( kutoka Mkoani Kigoma ) ni Ushamba, Kiherehere, Ubishi, Ushirikina na kupenda Ukubwa ( Mamlaka ) ambayo hata hivyo huwa hawayawezi na kubakia Kulalama ( Kulalamika ) tu na Majungu kibao hivyo wala sijashangaa sana kulisikia hili.Tangu ateuliwe Kama Makamu wa Rais Dr. Mpango amekuwa akitoa kauli za Kiutendaji bila kujali Mipaka ya Majukumu yake.
Mara ya Kwanza alisikika akimuagiza Waziri wa Fedha akusanye Tilioni 2. Bila kujua kwamba Mamlaka hayo ni ya Rais kwenda kwa Waziri wa Fedha kisha Kamishna Mkuu TRA.
Pili, Tena kasikika akiwaagiza Wakuu wa Mikoa Masuala ya Kinidhamu bila kujua kwamba, Mamlaka ya uteuzi na maagizo ya Kinidhamu yako Ofisi ya Rais - Tamisemi.
Huyu Dr anasahau kuwa yeye ni reserve wa Rais endapo litatokea (Mungu aepushe mbali). Na kwamba Mamlaka yake ya Maagizo ya Kiutendaji yako kwenye Mazingira na Muungano.
Afundwe huyu.