tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
linatibu MalariaDodo kwenye muarobaini!
Issue sio style ...katiba inasemaje!?Labda mama anamuagiza mwenye nchi kwa chini amsaidie. Kila kiongozi na style yake mkuu. Nyerere alikuwa akimuagiza Kawawa halafu ambo yakiwa negative anamkana hadharani na Kawawa kwa utiifu wake hakuwahi mkosea Nyerere adabu hadi anastaafu. Kawawa alpoagwa kustaafu utumishi wa umma Nyerere alitoa machhozi hadi akatamka" Kawawa asante sana ulibeba lawama zangu wewe miaka yote" Dr Mpango kwa utiifu wake na uadilifu wake anaweza akawa Kawawa wa SSH. KInyume chake atakuwa Lowassa wa Kikwete. Mabega hayajawahi kupanda .kuzidi kichaa. Time will tell yeye ni nani. Bado mapema.
Kwa Kumbukumbu Kawawa alikuwa Waziri Mkuu. Hata kama alivikwa cheo cha Makamu wa Pili wa Rais bado alikuwa na Authority kama Mkuu wa Shughuli za Utendaji Serikalini. Lakini Makamu wa Rais sidhani kama Chain of Command inampasa afanye hivyo anavyofanya.Labda mama anamuagiza mwenye nchi kwa chini amsaidie. Kila kiongozi na style yake mkuu. Nyerere alikuwa akimuagiza Kawawa halafu ambo yakiwa negative anamkana hadharani na Kawawa kwa utiifu wake hakuwahi mkosea Nyerere adabu hadi anastaafu. Kawawa alpoagwa kustaafu utumishi wa umma Nyerere alitoa machhozi hadi akatamka" Kawawa asante sana ulibeba lawama zangu wewe miaka yote" Dr Mpango kwa utiifu wake na uadilifu wake anaweza akawa Kawawa wa SSH. KInyume chake atakuwa Lowassa wa Kikwete. Mabega hayajawahi kupanda .kuzidi kichaa. Time will tell yeye ni nani. Bado mapema.
Hakika umenena kamandaLabda mama anamuagiza mwenye nchi kwa chini amsaidie. Kila kiongozi na style yake mkuu. Nyerere alikuwa akimuagiza Kawawa halafu ambo yakiwa negative anamkana hadharani na Kawawa kwa utiifu wake hakuwahi mkosea Nyerere adabu hadi anastaafu. Kawawa alpoagwa kustaafu utumishi wa umma Nyerere alitoa machhozi hadi akatamka" Kawawa asante sana ulibeba lawama zangu wewe miaka yote" Dr Mpango kwa utiifu wake na uadilifu wake anaweza akawa Kawawa wa SSH. KInyume chake atakuwa Lowassa wa Kikwete. Mabega hayajawahi kupanda .kuzidi kichaa. Time will tell yeye ni nani. Bado mapema.
Mpango anatakiwa awe kama Samia alivyokuwa kipindi cha Jiwe au Bilal na Shein walivyokuwa kipindi cha KikweteTangu ateuliwe Kama Makamu wa Rais Dr. Mpango amekuwa akitoa kauli za Kiutendaji bila kujali Mipaka ya Majukumu yake.
Mara ya Kwanza alisikika akimuagiza Waziri wa Fedha akusanye Tilioni 2. Bila kujua kwamba Mamlaka hayo ni ya Rais kwenda kwa Waziri wa Fedha kisha Kamishna Mkuu TRA.
Pili, Tena kasikika akiwaagiza Wakuu wa Mikoa Masuala ya Kinidhamu bila kujua kwamba, Mamlaka ya uteuzi na maagizo ya Kinidhamu yako Ofisi ya Rais - Tamisemi.
Huyu Dr anasahau kuwa yeye ni reserve wa Rais endapo litatokea (Mungu aepushe mbali). Na kwamba Mamlaka yake ya Maagizo ya Kiutendaji yako kwenye Mazingira na Muungano.
Afundwe huyu.
kabisa Mkuu. Anapaswa atulie awe mshauri wa Rais na afanye Utendaji wake na Maagizo yake halali kwenye Mazingira na Muungano.Mpango anatakiwa awe kama Samia alivyokuwa kipindi cha Jiwe au Bilal na Shein walivyokuwa kipindi cha Kikwete
Eeeenhee Heee,Labda mama anamuagiza mwenye nchi kwa chini amsaidie. Kila kiongozi na style yake mkuu. Nyerere alikuwa akimuagiza Kawawa halafu ambo yakiwa negative anamkana hadharani na Kawawa kwa utiifu wake hakuwahi mkosea Nyerere adabu hadi anastaafu. Kawawa alpoagwa kustaafu utumishi wa umma Nyerere alitoa machhozi hadi akatamka" Kawawa asante sana ulibeba lawama zangu wewe miaka yote" Dr Mpango kwa utiifu wake na uadilifu wake anaweza akawa Kawawa wa SSH. KInyume chake atakuwa Lowassa wa Kikwete. Mabega hayajawahi kupanda .kuzidi kichaa. Time will tell yeye ni nani. Bado mapema.
Kwani nani alikuwa makamu wa Mwinyi?Kwa Kumbukumbu Kawawa alikuwa Waziri Mkuu. Hata kama alivikwa cheo cha Makamu wa Pili wa Rais bado alikuwa na Authority kama Mkuu wa Shughuli za Utendaji Serikalini. Lakini Makamu wa Rais sidhani kama Chain of Command inampasa afanye hivyo anavyofanya.
Hicho cheo cha Makamu wa Rais ni cha kipuuzi but kipo kama Reserve tuu.
Hayo maagizo ni ya Rais na Waziri mkuu,yeye Kazi yake ni kuwakumbusha maneno ya Rais sio kutoa maagizo sijui maelekezo.
Rais Samia kipindi ni VP alikuwa akija ziarani haagizi unless aseme nimeelekezwa na Rais ,kama kuna jambo kaliona alikuwa anasema atalifikisha kwa Rais,sasa huyu wa sasa sijui Ana shida gani
Huyo jamaa sijawahi kumwelewa...sometimes kama hazimo hivi
Ajikite kwenye mazingira na muungano, otherwise akumbushwe kuwa VP position hapa Tz ni more of a ceremonial position- ni nafasi ya kula bata kimyakimya.Tangu ateuliwe Kama Makamu wa Rais Dr. Mpango amekuwa akitoa kauli za Kiutendaji bila kujali Mipaka ya Majukumu yake.
Mara ya Kwanza alisikika akimuagiza Waziri wa Fedha akusanye Tilioni 2. Bila kujua kwamba Mamlaka hayo ni ya Rais kwenda kwa Waziri wa Fedha kisha Kamishna Mkuu TRA.
Pili, Tena kasikika akiwaagiza Wakuu wa Mikoa Masuala ya Kinidhamu bila kujua kwamba, Mamlaka ya uteuzi na maagizo ya Kinidhamu yako Ofisi ya Rais - Tamisemi.
Huyu Dr anasahau kuwa yeye ni reserve wa Rais endapo litatokea (Mungu aepushe mbali). Na kwamba Mamlaka yake ya Maagizo ya Kiutendaji yako kwenye Mazingira na Muungano.
Afundwe huyu.
Huyu yupo kwenye kundi la mwenda zake, Samia alikosea Sana kumpendekeza huyu, na alipokuwa makini atampanda kichwaniTangu ateuliwe Kama Makamu wa Rais Dr. Mpango amekuwa akitoa kauli za Kiutendaji bila kujali Mipaka ya Majukumu yake.
Mara ya Kwanza alisikika akimuagiza Waziri wa Fedha akusanye Tilioni 2. Bila kujua kwamba Mamlaka hayo ni ya Rais kwenda kwa Waziri wa Fedha kisha Kamishna Mkuu TRA.
Pili, Tena kasikika akiwaagiza Wakuu wa Mikoa Masuala ya Kinidhamu bila kujua kwamba, Mamlaka ya uteuzi na maagizo ya Kinidhamu yako Ofisi ya Rais - Tamisemi.
Huyu Dr anasahau kuwa yeye ni reserve wa Rais endapo litatokea (Mungu aepushe mbali). Na kwamba Mamlaka yake ya Maagizo ya Kiutendaji yako kwenye Mazingira na Muungano.
Afundwe huyu.
kabisa. Kuna Changamoto nyingi sana za Mazingira na Muungano. Ajikite kuhakikisha tunapata Mazingira Safi na Salama ya kuishi. Takataka ziondolewe, Muungano uimalike tuishi kidugu zaidi.Ajikite kwenye mazingira na muungano, otherwise akumbushwe kuwa VP position hapa Tz ni more of a ceremonial position- ni nafasi ya kula bata kimyakimya.