Scolari Ndenga
JF-Expert Member
- Aug 4, 2008
- 271
- 43
Nanahisi zitakuwa tano kufuatia ndoto niliyoota juzi.Wakuu naziona chaguzi ndogo tatu mwaka 2012. Wa kwanza ni ule wa Kigoma kusini ambao yanki Kafulila katemeshwa na Mbatia baada ya kujaribu kumtishia nyau.
Wa pili ni wa Arumeru Mashariki. Japo si vema kumtabiria mtu kifo lakini kwa hali ya mbunge wa sasa Jeremia Sumari dakika yoyote anaweza akawa past tense.
Uchaguzi wa tatu ni wa Maswa Magaribi. Si mnajua Shibuda nae kakalia kuti kavu huko CDM na CDM wenyewe hawanaga mzaaa? Tena kwa matamshi yake ya juzi kati hapa sidhani kama CDM watamkopesha.
Naamini CDM watakua na uwezo wa kuyakamata majimbo yote hayo.
Wakuu naziona chaguzi ndogo tatu mwaka 2012. Wa kwanza ni ule wa Kigoma kusini ambao yanki Kafulila katemeshwa na Mbatia baada ya kujaribu kumtishia nyau.
Wa pili ni wa Arumeru Mashariki. Japo si vema kumtabiria mtu kifo lakini kwa hali ya mbunge wa sasa Jeremia Sumari dakika yoyote anaweza akawa past tense.
Uchaguzi wa tatu ni wa Maswa Magaribi. Si mnajua Shibuda nae kakalia kuti kavu huko CDM na CDM wenyewe hawanaga mzaaa? Tena kwa matamshi yake ya juzi kati hapa sidhani kama CDM watamkopesha.
Naamini CDM watakua na uwezo wa kuyakamata majimbo yote hayo.
Nanahisi zitakuwa tano kufuatia ndoto niliyoota juzi.
Mimi nimeota kiti cha urais kiko wazi! Ni ndoto au ni kweli wana JF? Nijuzeni mlio TZ hasa karibu na magogoni

Zitakuwa nyingi tu!zaidi ya tano!nimeota wengine wawili watakataa kula ugali na posho
Mkuu umesahau na jimbo la Wawi litakuwa wazi siku si nyingi