Chaguo ni lako!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
IMG-20170412-WA0030.jpg
 
Jmos iliyopita kulikua na mazoezi ya kukimbia mdogo mdogo. wengine niliona wamevaa matisheti yameandikwa run with Miriam Odemba. kwakweli watu walikua ni wengi mnoooo. nilikutana nao mitaa ya ubungo plaza. kwakweli niliipenda sana hiyo jogging. mazoezi ni muhimu mnooo kwa afya zetu
 
Back
Top Bottom