Chaguo lako lipi, a au b?

Tyta me nishawahi "A"
 
Last edited by a moderator:
Hakuna wa kufikia B, ndiyo kila kitu. Njiani lazima watu wajikwae kwenye visiki kwa kugeuka.
 
hakuna wa kufikia b, ndiyo kila kitu. Njiani lazima watu wajikwae kwenye visiki kwa kugeuka.

lakin kwenye avatar yako kuna kimodo kwa mbali..
 
Mpango mzima B bwana,,me mwenyewe ni samsung bapa halafu nikachukue kama mie kweli haki?

"Nlikuwepo":bolt:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…