Chaguo la mchumba

prince p4

New Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
4
Reaction score
0
wana jf mimi ni kijana ninayevutiwa sana na wasichana wenye rangi nyeupe lakini cha kushangaza ninawavutia sana wasichana weusi kiasi ambacho kinanifanya niwe karibu nao kuliko wale weupe ninaowataka, naomba mnishaur kama nitakua sahihi kuanzisha uhusiano na msichana mweusi au nitakua nampotezea wakati?
 
Wewe mweusi au mweupe? tuanzie hapo
 


Umepoteza muda kivip?
 
Ww na mm tunakabiliwa na sijui niite tatizo au mtanziko unaoshabihiana
 
Fanya kubalance tafuta aliejikrim uso mweupe miguu myeusi tiiii
 
Mvulana,
Tafuta unachopenda na sio kinachokupenda,

Unaeza badili unachokipenda kikupende na sio kinachokupenda wewe kikubadili...

Kumbuka rangi ni kitu kidogo mno, angalia sura nzima ya upendo kwan haujazwi na rangi tuu, bali vitu vingine vingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…