balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,380
- 13,771
Nilimsikia,watanzania walimsikia na sasa anafanya kweli.Msilie na kunung'unikaa maana mliifanya migumu mioyo yenu.Yu wapi aliyesema the country is to the dogs? Mara ooo,kinyerezi one na two kwa mafisi wenye ahadi,ii wapi? Je,ndo wakati wa kuuporomosha mjengo wa Ubungo? Dhulma italipwa kwa dhulma.Msilipe kisasi wana wa nchi hii maana vergence is for God.