sky walker JF-Expert Member Feb 3, 2018 1,160 824 Jun 4, 2018 #1 chagua umbo lako kwenye hii picha, usiogope hamna majungu kuwa huru. najua wengi humu ndani wata danganya kutokana na kuogopa mambo ya hapa na pale. usisahau kusema na jinsia yako maana unaweza sema 20% Ukashangaa jinsia yako ina kutania vibaya uka maindi. MFANO : NUMBER 3> 8% male 1: 2: 3:
chagua umbo lako kwenye hii picha, usiogope hamna majungu kuwa huru. najua wengi humu ndani wata danganya kutokana na kuogopa mambo ya hapa na pale. usisahau kusema na jinsia yako maana unaweza sema 20% Ukashangaa jinsia yako ina kutania vibaya uka maindi. MFANO : NUMBER 3> 8% male 1: 2: 3:
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Sep 19, 2016 5,188 6,012 Jun 4, 2018 #2 sijana ma six Pat hapo mbona
Saguda47 JF-Expert Member May 1, 2016 10,771 18,642 Jun 4, 2018 #3 NAHUJA said: namba moja kabisa hapo mwanzo Click to expand... Weeee!
N NAKWEDE JF-Expert Member Aug 1, 2007 27,971 35,113 Jun 4, 2018 #4 Saguda47 said: Weeee! Click to expand...
Saguda47 JF-Expert Member May 1, 2016 10,771 18,642 Jun 4, 2018 #5 NAHUJA said: Click to expand... Unazingua!! Are you such a stick? upepo ukija hukatizi road unabebwa na upepo.
NAHUJA said: Click to expand... Unazingua!! Are you such a stick? upepo ukija hukatizi road unabebwa na upepo.
N NAKWEDE JF-Expert Member Aug 1, 2007 27,971 35,113 Jun 4, 2018 #7 Saguda47 said: Unazingua!! Are you such a stick? upepo ukija hukatizi road unabebwa na upepo. Click to expand... hahaaaaaaaaaaaa
Saguda47 said: Unazingua!! Are you such a stick? upepo ukija hukatizi road unabebwa na upepo. Click to expand... hahaaaaaaaaaaaa
Saguda47 JF-Expert Member May 1, 2016 10,771 18,642 Jun 4, 2018 #8 NAHUJA said: hahaaaaaaaaaaaa Click to expand... Au mambo ya kumenteini shepu?
N NAKWEDE JF-Expert Member Aug 1, 2007 27,971 35,113 Jun 4, 2018 #9 Saguda47 said: Au mambo ya kumenteini shepu? Click to expand... hahahahaahaahahahahaah
Saguda47 JF-Expert Member May 1, 2016 10,771 18,642 Jun 4, 2018 #10 NAHUJA said: hahahahaahaahahahahaah Click to expand... Unashindia majani ya kabichi yaliyochanganywa na kipande cha tango, unashushia maji ya uvuguvugu
NAHUJA said: hahahahaahaahahahahaah Click to expand... Unashindia majani ya kabichi yaliyochanganywa na kipande cha tango, unashushia maji ya uvuguvugu