mzee wa misele
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 366
- 46
najua saizi tunaelekea uchaguzi mkuu nawahasa watanzania mchague MTU sio chama kumbukeni kwamba MTU ndiye anaeleta maendeleo sio chama chagueni MTU mchapakazi na mpenda maendeleo na mwenye usubutu wa kutoa maamuzi magumu yenye kuleta maendeleo ya nchi asiyekuwa mbinafsi na mwenye upendo na watu wote bila kujali rika la watu, hali waliokuwa nayo watu , nawasilisha
hatutaki kusikia neno ccm pamoja na mvumo wao, cc tunachagua chama chochote kilicho ndan ya ukawa, 2010 mlikuja na story iyo iyo chaguen mtu, hatutak kuckia ccm tena tumechoka
Matusi ya nini? Kama ukitukanwa wewe utakubali kweli! Watu humu wamemshupalia Mkapa kuwa ametukana, sasa wewe upo kundi gani. Subiri tarehe 1/9 tuone kama utarudia kutukana namna hii!Uloi nga mâché68;13790085 said:pumbu zako
mzee wa misele, huyo mgombea ambaye hakutokana na chama ni yupi basi? Hebu jaribu kufafanua tafadhali kwani ninavyojua hakuna mgombea binafsi. Kwa kweli napata shida kuelewa ulitaka hasa kusema nini.najua saizi tunaelekea uchaguzi mkuu nawahasa watanzania mchague MTU sio chama kumbukeni kwamba MTU ndiye anaeleta maendeleo sio chama chagueni MTU mchapakazi na mpenda maendeleo na mwenye usubutu wa kutoa maamuzi magumu yenye kuleta maendeleo ya nchi asiyekuwa mbinafsi na mwenye upendo na watu wote bila kujali rika la watu, hali waliokuwa nayo watu , nawasilisha