Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Wapi nimesema kuna shidaKwani shida ipo wapi hapo.... unataka watu wasimake fun?
Acha watu tujiliwaze[emoji41][emoji41]
Wapi nimesema kuna shidaKwani shida ipo wapi hapo.... unataka watu wasimake fun?
Acha watu tujiliwaze[emoji41][emoji41]
Haha ila game lile ni balaa kuna wakati nasema ingekuwa kweli na mimi ningeenda I could survive [emoji23]Kuna watu wanapenda tu kuchezea hela....zinawawasha
Au hujaangalia Squid Game[emoji23][emoji23]
Basi sikukuelewa maana namna ulivyocomment nikahisi kuna shidaWapi nimesema kuna shida
Mimi naona kabisa nisingesurviveHaha ila game lile ni balaa kuna wakati nasema ingekuwa kweli na mimi ningeenda I could survive [emoji23]
Hakuna shida bossBasi sikukuelewa maana namna ulivyocomment nikahisi kuna shida
Ningekuwa kama yule mzeeMimi naona kabisa nisingesurvive
Ningekufa mapema tu kwenye ile part ya Green Light na Red Light[emoji23][emoji23]