Z zayat JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 337 Reaction score 42 Jan 26, 2011 #1 :bathbaby:Umejitayarisha kwenda kuoga umevaa taulo MAMAMKWE na MKEO wamekaa katoto chako kadogo kana miezi kama 8/9 kanacheza una kachukua na kukirusha ghafla taulo lina dondoka mtoto yupo hewani UNADAKA NI MTOTO AU TAULO? NA MAMAMKWE YUPO MBELE
:bathbaby:Umejitayarisha kwenda kuoga umevaa taulo MAMAMKWE na MKEO wamekaa katoto chako kadogo kana miezi kama 8/9 kanacheza una kachukua na kukirusha ghafla taulo lina dondoka mtoto yupo hewani UNADAKA NI MTOTO AU TAULO? NA MAMAMKWE YUPO MBELE
Pearl JF-Expert Member Joined Nov 25, 2009 Posts 3,036 Reaction score 321 Jan 26, 2011 #2 uchungu wa mwana?kwani mama mkwe hajawahi kuona ?:shut-mouth:
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,379 Jan 26, 2011 #3 Choo cha nje unaendje kuoga na taulo tu bila kuvaa kitu ndani? obvious adamdaka mtoto na mama mkwe ataangalia pembeni tu,
Choo cha nje unaendje kuoga na taulo tu bila kuvaa kitu ndani? obvious adamdaka mtoto na mama mkwe ataangalia pembeni tu,
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 77,886 Reaction score 165,142 Jan 26, 2011 #4 Mi ntaokota taulo, kwa kuwa ni mtaalam wa danadana katoto ntakapoga kwa mguu katarudi juu, kisha baada ya kujifunga ndio ntakadaka. Kiuhalisia huwezi kuanza michezo na mtoto wakati uko nusu uchi mbele ya mama mkwe
Mi ntaokota taulo, kwa kuwa ni mtaalam wa danadana katoto ntakapoga kwa mguu katarudi juu, kisha baada ya kujifunga ndio ntakadaka. Kiuhalisia huwezi kuanza michezo na mtoto wakati uko nusu uchi mbele ya mama mkwe
Nanren JF-Expert Member Joined May 11, 2009 Posts 3,852 Reaction score 4,573 Jan 26, 2011 #5 Huyo mama mkwe unayemvalia taulo.......? mbona hata akiona hamna noma? Unadaka mtoto kwanza.
Da Dinnah JF-Expert Member Joined Jan 24, 2011 Posts 504 Reaction score 181 Jan 26, 2011 #6 mtoto bwana, kwani watu wakiona uko uchi unakufa?,