Chagua kitu cha bure kati ya hivi hapa

Chagua kitu cha bure kati ya hivi hapa

Princ

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
285
Reaction score
91
Je ungeambiwa uchukue kitu kimoja kati ya hivi hapa na unywe wewe ungechukua kipi?
 

Attachments

  • 25298984_2075209772722185_6261498299315850918_n.jpg
    25298984_2075209772722185_6261498299315850918_n.jpg
    13.7 KB · Views: 108
Dah! Yaani BLACK ndio mpango mzima. Niiikishakuwa invisible:
1. Nitazama benk kila nitakapohitaji fedha
2. Nitapanda Emirates Business Class kama dala dala
3. Nitahudhuria kila kusanyiko nalotaka
4. Nitakuwa na jeuri kiwango cha standard gauge...wallah nitathubutu hata kumbandua mke wa mshana jr mchana kweupeeee....(mbiooo!)
 
Ukichagua "red" na "purple" itakuja automatically.
 
Back
Top Bottom