CHAGUA JK AMA SILA ZA VITA-Askofu Gwajima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHAGUA JK AMA SILA ZA VITA-Askofu Gwajima

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by BASIASI, Oct 25, 2010.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima jana aliwaomba watumishi wake kama wanaweza[pata muda wakamsikilize mgombea urais wa chadema.dk slaa,katika ibada hiyo iliokuwa na mamb mazuri mwisho askofu aliwaatangazia atutaki kuja kusikia makelele yenu ooh rais bomu ooh nendeni wenyewe amueni mnachagua JK ama SILAA ZA VITA...na kumalizia usemi wao MAJESHI MAJESHI MAJESHI YABWANA

  Najua kama kuna wana ccm hapa msipate taabu kushangaa viti vyangu nimewapa chadema na nimewaambia hata vikiisha waje kuchukua vimejaa tele ...wiki iliopita niliwasaidia ccm viti vingi tu na sikuitaji hata senti moja leo ni chadema so kama mwana ccm usiumize kichwa kwa hili zamu yako uliitumia...nasema hiiiiiiiiivvvvvvvvvvvvv nenda kamsikilize silaaaaaaaa sera zake mwisho amuaa unachaguaaaaaaaaaaa JK AMA SILAAAA ZA VITAAAAAAAAAAAA

  chonde chonde mkitoka hapa tukamsikilize na mi naelekea kama ifuatavyo..kweli jamaa akaondoka nakwenda kupaki gari lake ...kwenye mkutano


  KAZI IPO
   
 2. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Basiasi, Una uthibitisho juu ya haya uliyoyabandika hapa hasa hiyo para ya mwisho? hatuhitaji udini sisi na sidhani kama askofu anaweza kuuliza swali lenye jibu hilo kanisani.
   
 3. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mi simo
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Sijaelewa kitu!
   
 6. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mh hawezi askofu akatamka hili we!
   
 7. k

  kasyabone tall JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2010
  Joined: Sep 13, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 33
  Habari hii ni ya uchochezi na inahatarisha amani ya nchi. Kwa mfano watu wakimfuata huyo askofu na kumpa kipigo kwa kuudhiwa na kauli kama hizi zisizo hata na mantiki, hapa utakuwa umehatarisha amani ya nchi. Siku kama hizi ni vizuri kupost habari ambazo hazitaleta chuki baina ya waumini na viongozi wao wa kidini. Pia viongozi wa dini kwa kutambua uelewa wa waumini wao ni bora wasitoe kauli ambazo waumini wao watazielewa vibaya.
   
 8. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  :smash:
   
 9. t

  tarita Senior Member

  #9
  Oct 25, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Eleweni mnacho kisema na kukiwaza. Msihangaike, jiulizeni Askofu Gwajima alipataje viwanja vya Tanganyika Packers? Mali ya serikali??
  Alipewa na nani kama siyo JK? Mbona hili ni wazi !!
  Kuweni macho na wanaojiita watumishi wa Mungu waliokabidhiwa mali za serikali kiujanja ujanja.
  Analipa fadhila kwa kumharibia Dr. Slaa.Mwaka wa ajabu huu.WANAOFILISIKA KISIASA WANAJIHALALISHA KWA SERA ZA UDINI KAMA TUNAVYOSHUHUDIA SASA.
  Profesa Safari ni mwislamu tena anayetetea sana uislamu mbona anakubali kwamba sera za Slaa na CHADEMA kwa ujumla ni safi!!!
   
 10. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,429
  Likes Received: 3,792
  Trophy Points: 280
  Yeyote mwenye mtazamo huu amefirisika kisiasa..............
   
 11. N

  Natasha Ismail JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2010
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Kweli Mchungaji Gwajima alikuwepo pale Tanganyika packers na hummer yake nyekundu.
   
 12. Ernie

  Ernie JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jamani mbona mmeleta Sia Sir huku?
   
 13. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  hakuna udini tunaongelea yaliosemwa na mtumishi wa mungu naomba uheshimu hilo
   
 14. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  :doh::doh::doh:
   
 15. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!kazi kwelikweli!
   
Loading...