Unaenda moshi, kuna kipande cha kutoka makanya hadi same town pale hata speed 300 unaweza fika. Hakuna manesi na barabara enyooka kidogo tatizo vicheche tu.
Ka Corolla kangu kanafuta vizuri hiko kisahani ,nikiona habari za magari roho inauma ka Corolla kangu nimekula nako mzinga wiki mbili nyuma nipo na maumivu ya kiuno ,natembea Kama nimebambiwa nyuma .
Aise Mungu niponye niirudishe Corolla yangu katika hali yake maana wanakijiji wanaomba nisiamke Wala gari isipone
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.