Chagua CCM chagua mahitaji haya...

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,931
TUKO HIVYO

Hatuoni

Hatusikii

Tunadanganyika kirahisi

Tunafuata mkumbo


BAADAE TUNALALAMIKA



Chagua CCM


Ofisi zetu

MAKAZI YETU

v



shule zetu

|
v



Darasani kwa watoto wetu

|

v



Huko vijijini-Dispensary

|

v


WAO WAKICHAGULIWA....

Ubalozi wa Tanzania
Washington



Ofisi zetu za Bunge

|
v



|
v




Kuna cha kuongeza?

Sasa tucheze na hesabu 6,900,000/= kwa mbunge mmoja,zidisha mara miezi 12 then zidisha kwa miaka 5 = 414,000,000/= jumlisha 50,000,000/= anayopewa mara baada ya kumaliza miaka 5 = 464,000,000/= kwa mbunge mmoja.



464,000,000/= siko tayari kuzidisha fedha hii mara wabunge wote kwa miaka 5,calculator yangu itachanganyikiwa alafu niingie gharama ya kununua nyingine.




















 
Wenzetu kenya, juzi ukilikuwa mnada wa magari ya kifahali. Waziri wa fedha uhuru kinyata anasimamia. Sisi hata mtoto wa mkulima PINDA analalamika majukwani.
 
Uchumi ungekuwa unapangwa kwa kupanga picha, basi ukumbi huu ungekuwa unashindana na Oxford na Cambridge kwenye mambo ya uchumi.
 
DU Mi nina calculator ya Mjerumani lakini Hola, ngoja nijaribu ya Zimbabwe maana ndo Hesabu zake:lol:
 
Mkuu Imma ukipata jibu kwenye kikokotozo cha Zimbabwe tuambie maana yangu ya kichina imezima kabisa hata kuwaka haitaki baad aya kujaribu kufanya hesabu la wabunge wote :confused2::becky:
 
Na uwendawazimu utaanza siku hiyo matokeo kamili ya uchaguzi yatakapoanza kutangazwa!
Uendawazimu mbona upo vichwani mwetu siku nyingi. Ni wale waliouona mwanga tu ndio wanaweza kusema rangi ya kilicho mbele yao!!!!!!
Fikiria: Hakuna ukame, hakuna jangwa, mito ni ya kumwaga, ardhi kubwa zaidi ya Kenya na Uganda Kwa pamoja, Maziwa yote makubwa katika afrika mnayo, madini muhimu yatafutwayo kodi ulimwenguni mnayo. Mlichonyimwa na Mwenyezi Mungu ni akili peke yake. Ndio maana watu 40 milioni mnaweza kudanganyika kitoto sana na msing'amue.
Umasikini ndio utakuwa wimbo wenu wa taifa mpaka kiama. Umasikini ni kitu kibaya sana, lakini umasikini wa mawazo, eeeh Mungu!
CHAGUA UMASIKINI, CHAGUA CCM
 
naomba nitoe hesabu mwingine aseme kwa maneno 162,400,000,000.00
 
mkuu BornTown nimejaribu kutumia calculator ya simu yangu kuzidisha hiyo hesabu imezima na it doesnt want to restart again.Oh my God I have to buy another phone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…