Utashirikianeje na chombo ambacho kimeshindwa kabisa kushirikiana na raia kwa kisingizio cha amri kutoka juu. Polisi ina ushirikiano na watoa amri kutoka juu na siyo raia. Hao watoa amri kutoka juu ndiyo wafanye kazi na washirika wao polisi. Polisi wenyewe wameota matumbo kama wamevimbiwa mawe, hawawezi kazi ngumu zaidi ya kuwapiga akina Lipumba. Ngoja wale kichapo huko TangaNinyi muishi tu kwa assumpitions hizohizo badala ya kustuka na kutoa ushirikiano kwa serikali,kalieni hayohayo kwamba ni mbinu zaCCM.
Tuombe uzima. Mtakiri tu kwamba ushabiki kama huo mnaoufanya hauna mantiki hata kidogo.
Take my words with a special regards. Nakuhakikishia jambo hilo.
Ninyi muishi tu kwa assumpitions hizohizo badala ya kustuka na kutoa ushirikiano kwa serikali,kalieni hayohayo kwamba ni mbinu zaCCM.
Tuombe uzima. Mtakiri tu kwamba ushabiki kama huo mnaoufanya hauna mantiki hata kidogo.
Take my words with a special regards. Nakuhakikishia jambo hilo.
Watu wameharibika akili na maadili, serikali ya wananchi kwa ajili ya wananchi haiwezi kuja na senema ya namna hii
Shangaa ndugu!Duh, kweli Tanzania ni balaa. Magaidi wamejitokeza siku moja tu wameshambulia alafu wametokomea. Cha ajabu sasa, gaidi Kavaa yebo yebo! Mungu nipe uzima nizidi kuona mengi mwaka huu.
mangatara
Ninyi muishi tu kwa assumpitions hizohizo badala ya kustuka na kutoa ushirikiano kwa serikali,kalieni hayohayo kwamba ni mbinu zaCCM.
Tuombe uzima. Mtakiri tu kwamba ushabiki kama huo mnaoufanya hauna mantiki hata kidogo.
Take my words with a special regards. Nakuhakikishia jambo hilo.
Bado kujipiga na kulia wenyewe!Ccm bana. Inajitekenya na kucheka yenyewe!!!!
Wakumbuke "to every action there is an equal and opposite reaction" wanatengeneza magaidi wa kufeki ipo siku watakuja kuwadhulu wao wenyewe.
lugha za enzi ya chama kimoja hizi,hazina maana yoyote siku hizi!
mangatara
Ninyi muishi tu kwa assumpitions hizohizo badala ya kustuka na kutoa ushirikiano kwa serikali,kalieni hayohayo kwamba ni mbinu zaCCM.
Tuombe uzima. Mtakiri tu kwamba ushabiki kama huo mnaoufanya hauna mantiki hata kidogo.
Take my words with a special regards. Nakuhakikishia jambo hilo.
Unajivamia,unajiteka,unajitorosha,unajisaka na hatimaye unatangaza kujitafuta kwa udi na uvumba.Matukio yote haya haya hayana majina ya waathirika.
Kweli siasa zimefikia mahala pake!Tutashuhudia mengi 2015.
Duh, kweli Tanzania ni balaa. Magaidi wamejitokeza siku moja tu wameshambulia alafu wametokomea. Cha ajabu sasa, gaidi Kavaa yebo yebo! Mungu nipe uzima nizidi kuona mengi mwaka huu.
Hahahahaha huyo ndio Chagonja Mkuu. Na bado tutaona mengi mwaka huu.Lakini wanasahau kuwa watanzania Wa Leo sio Wa mwaka 2000 . CCM wana kazi sana. Naomba Mungu awape ujasili waachie nchi kwa amani.Kihuni inaitwa kujipiga puchu
Duh, kweli Tanzania ni balaa. Magaidi wamejitokeza siku moja tu wameshambulia alafu wametokomea. Cha ajabu sasa, gaidi Kavaa yebo yebo! Mungu nipe uzima nizidi kuona mengi mwaka huu.
Hivi, kwa akiri ya kawaida tu mapambano ya polisi na hao wanaoitwa magaidi hakuna majeruhi wala vifo upande wa magaidi? mbona hili jeshi letu linataka kutugeuza watanzania kama matahila vile? wao waue, wajeruhi ila wao wsikamatwe hata mmoja na watumike mpka Jwtz?[/QUO
Kati ya serikali na mwananchi nani anajukumu la kulinda usalama wa mwingine?
Ushirikiano upi wakati wao wenyewe kauli zao zinatofautiana. Huyu anasema bvile na yule anasema hivi? Kama kitu ni kweli kwanini wawe na kauli ambazo zinakinzana katika habari hii? Hakuna anayefanya ushabiki watu wanaandika ukweli kutokana na hawa polisi kudanganya umma wa Watanzania mara nyingi tu na ushahidi wa uongo wao upo wa kutosha.